Wadimamie wafanye Homework. Nyie mnachofanya ni kutaka wapate 100%. Mwanafunzi akikosa swali, unampa nafasi mwalimu kujua mapungufu..Hua mnawabonda wanafunzi wakifika shuke bila ya kumaliza homework, hivyo wazazi wanaona bora waingie front
Sahihi kabisa.Sisi tunawapa homework watoto kutokana na tulicho mfundisha. Na lengo ni kujua kama amaelewa alichofundishwa?
Kumbuka kwamba mzazi sio mwl. kitaaluma. Mzazi anautoa wapi muda wa kumsimamia mtoto ili afanye H/work? Zamani ilikuwa mtoto anafanya zoezi la kile alichofundishwa ndani ya muda wa kipindi husika. e.g. Kipindi cha Hesabu(Maths) ambacho huwa ni dk.45; mwl. anatenga dk dk.25 kufundisha theory na mifano halafu dk. 20 zilizobaki anatoa maswali na mwisho anakusanya madaftari na kuondoka nayo kwenda kusahihisha Ofisini. Cku hizi hiyo imehamishiwa nyumbani?Lakini ajabu Wazazi badala ya kuwasimamia wafanye homework, wanawapa majibu na kuwafanyia homework.
Waalimu na uongozi mzima jaribuni kuliweka hilo kama Agenda siku ya Kikao cha Wazazi msikie rection ya wazazi.Mwanafunzi akifika Shule tunajua ana uwezo mkubwa sababu homework kafanya vizuri hivyo hatmzingatii.
Matokeo yake mtoto anafeli kwa sababu maswali hajafanya yeye.
Sisi watoto tunaawatenga kwenye magroup kutokana na uelewa..
Mtoto anawekwa group A kumbe alitakiwa awe group C au D.
Hoja hii ni njema ila utekelezaji wake ni changamoto pia. Kumbukeni H/work hufanyika uck. na wazazi wengi wanakuwa wametoka ktk mihangaiko yao na wamechoka.Wazazi wasimamie watoto wafanye Homework sio muwafanyie..
Ndo chimbuko la Udanganyifu ktk.mitihani ikiwa ni pamoja na wanafunzi(Ke na Me) kutoa "Rushwa" ili waoneshwe majibu ya mitihani.Mtoto akikosa swali najua hajanielewa napata wasaa wa kumfundisha. Lakini majibu anapewa na baba au Mama halafu kwenye mtihani hawapo, itakuaje?
Je akifika level ambayo hataweza kumfanyia itakuwaje?
Umefanya vyema kuyaleta hapa ili tuyajadil. Naamini Huenda utajifunza kitu kwenye koment zetu.NI MALALAMIKO NIMEPEWA NA MWALIMU.
Mtoto anarudi shule saa 12 hiyo home work atafanya saa ngp?Sisi tunawapa homework watoto kutokana na tulicho mfundisha. Na lengo ni kujua kama amaelewa alichofundishwa?
Lakini ajabu Wazazi badala ya kuwasimamia wafanye homework, wanawapa majibu na kuwafanyia homework.
Mwanafunzi akifika Shule tunajua ana uwezo mkubwa sababu homework kafanya vizuri hivyo hatmzingatii.
Matokeo yake mtoto anafeli kwa sababu maswali hajafanya yeye.
Sisi watoto tunaawatenga kwenye magroup kutokana na uelewa..
Mtoto anawekwa group A kumbe alitakiwa awe group C au D.
Wazazi wasimamie watoto wafanye Homework sio muwafanyie..
Mtoto akikosa swali najua hajanielewa napata wasaa wa kumfundisha. Lakini majibu anapewa na baba au Mama halafu kwenye mtihani hawapo, itakuaje?
Je akifika level ambayo hataweza kumfanyia itakuwaje?
NI MALALAMIKO NIMEPEWA NA MWALIMU.
Nakazia hoja: Walimu wanakuwa/wanakaa na mtoto(mwanafunzi) tangu saa mbili asb. hadi saa kumi jioni = masaa nane(8). Mtoto akirudi nyumbani anatakiwa walau apumzike i.e. afanye shughuli nyingine isiyokuwa ni masomo e.g. kuosha vyombo,kumwagilia maua/miti, kumsaidia mama kupika,anaweza kutumwa dukani n.k. na hapo atafanya mafunzo kwa vitendo mambo yanavyokuwa ktk Familia. Halafu mtoto anatakiwa apumzike (refresh) ajichangamshe-hata kuangalia Tv, ale chakula cha uck na aingie kulala- alale walau masaa 8. Je, Waalimu si wanalijua hilo? manake na wao ni wazazi pia.Mtoto anarudi shule saa 12 hiyo home work atafanya saa ngp?
Saa kumi alfajiri anatakiwa ajiandae kwenda shule,,analala saa ngp na anapumzika saa ngp?
Mambo ya shule malizeni shule,tunalipa ada kubwa na bado tuwasaidie kufundisha watoto wetu..
Unamkutana kakazana na simu anafanya homework ya mtoto.. Halafu mtoto akapata merks zote anafurahi. Swali maswali kafanya mtoto au Ai?Hao ni wazazi wapumbavu.
Kabisa mkuu,,kazi zao wao tuwasaidie sisi wazazi na ada tunalipa kubwa..Nakazia hoja: Walimu wanakuwa/wanakaa na mtoto(mwanafunzi) tangu saa mbili asb. hadi saa kumi jioni = masaa nane(8). Mtoto akirudi nyumbani anatakiwa walau apumzike i.e. afanye shughuli nyingine isiyokuwa ni masomo e.g. kuosha vyombo,kumwagilia maua/miti, kumsaidia mama kupika,anaweza kutumwa dukani n.k. na hapo atafanya mafunzo kwa vitendo mambo yanavyokuwa ktk Familia. Halafu mtoto anatakiwa apumzike (refresh) ajichangamshe-hata kuangalia Tv, ale chakula cha uck na aingie kulala- alale walau masaa 8. Je, Waalimu si wanalijua hilo? manake na wao ni wazazi pia.
Nashauri: mambo ya shule yamalizike huko huko shuleni wenye utawala wa mwl. Aidha kuwabebesha mzigo wazazi kazi ya usimamizi wa mtoto naona sio sawa.
Ni hayo tu.
Wenyewe waalimu hutuambia kwamba kila jambo lifanyike kwa wakati wake na hiyo ndo nidhamu ktk.maisha. Iweje sasa wanavuruga? e.g. Tulipe ada, tuwasaidie kwa ulazima/shinikizo kufundisha halafu mwisho wa siku wanachukua Credit kama watoto wakifaulu vizuri mitihani. Watoto wakifurunda lawama zinaelekezwa kwa wazazi eti wazazi hawatoi ushirikiano. Hiyo sio sawa.Kabisa mkuu,,kazi zao wao tuwasaidie sisi wazazi na ada tunalipa kubwa..
Mtoto lazima apate muda wa kupumzika like kuangalia tv nk
Nilikuwa najipitia tu ila hili limenitafakarisha. Kwamba kazi ya usimamizi wa mtoto wako ni mzigo kwako?Aidha kuwabebesha mzigo wazazi kazi ya usimamizi wa mtoto naona sio sawa.
Nilivyomwelewa mtoa mada ni kuwa wewe kazi yako ni kuhakikisha unamsimamia mtoto na kuhakikisha amefanya kazi zake. Sio umfundishe au umpatie majibu. Ni sawa na unapomsimamia na kuhakikisha anafanya mambo yake mengine.Wenyewe waalimu hutuambia kwamba kila jambo lifanyike kwa wakati wake na hiyo ndo nidhamu ktk.maisha. Iweje sasa wanavuruga? e.g. Tulipe ada, tuwasaidie kwa ulazima/shinikizo kufundisha halafu mwisho wa siku wanachukua Credit kama watoto wakifaulu vizuri mitihani. Watoto wakifurunda lawama zinaelekezwa kwa wazazi eti wazazi hawatoi ushirikiano. Hiyo sio sawa.
Walimu wanakwepa wajibu wao Kitaaluma na wanauhamishia kwa wazazi. Wazazi wana majukumu mengi kifamilia na kijamii ikiwa ni pamoja na kutafuta Ada za watoto wake ambao ni wanafunzi e.g. wapo wazazi wengi ni wanasomesha watoto 3. Sasa mzigo wa kusimamia watoto 3 ili wafanye h/w ni mkubwa sana. Kwa nini walimu wasimalize kila kitu huko shuleni? Ni nini umuhimu wa Scheme of work na Lesson Plan?Unamkutana kakazana na simu anafanya homework ya mtoto.. Halafu mtoto akapata merks zote anafurahi. Swali maswali kafanya mtoto au Ai?
... Mtakesha na ataishia kulala unabaki na msala na humfanyi chochote. Bora umfanyie chap muwahi kulala hatakosa cha kuokotaokota!Wazazi wasimamie watoto wafanye Homework sio muwafanyie..
Kusimamia i.e. kuhakikisha jambo linakwenda kama linavyotakiwa kunahitaji utulivu na pia Uelewa kwa kiasi fulani. Mtoto katika kufanya H/W anaweza akakuomba msaada wa ufafanuzi. Utafafanuaje kama hujui mwl. alifundishaje huko shuleni? Aidha waalimu wanawaweka wazazi ktk wakati mgumu sana pale inapotokea mzazi amesahau kile mtoto anaomba msaada au pengine hakumbuki kabisa au hajui kabisa. You cant be a jack of all trades. Hapo utona ni kwa nini baadhi ya wazazi wanatumia AI. Hakuna mzazi anayependa kufedheheka mbele ya mtoto wake.Nilivyomwelewa mtoa mada ni kuwa wewe kazi yako ni kuhakikisha unamsimamia mtoto na kuhakikisha amefanya kazi zake. Sio umfundishe au umpatie majibu. Ni sawa na unapomsimamia na kuhakikisha anafanya mambo yake mengine.
Hakuna Tatizo lolote na inashauriwa iwe hivyo kwani katika somo unaloweza/unalomudu ukimfundisha mwanao unamjazia uelewa zaidi. Mwl. hawezi kumaliza kila kitu huko darasani. Na ndo mana kuna vitabu vya shule vya kiada na vya ziada.Lakini hivi kumfundisha mtoto wako (kama unaweza) kuna tatizo lolote?