Na watoto wengine wanaanza kuichukia shule.Mtoto lazima apate muda wa kucheza, kupumzika na kusoma.
Sasa hawa walimu wa sasa wanafanya watoto hawapati muda wa kupumzika wala kucheza,
Hii ni hatari kwa afya ya akili...
Kabisa mkuuNa watoto wengine wanaanza kuichukia shule.
Mtoto anaamka asb. lakini haendi shule ukiuliza anakwambia kichwa kinauma sana.Ukimpeleka zahanati, mkiwa njiani anakwambia nimepona kichwa hakiumi tena.Kabisa mkuu
Mtoto anaamka akijiandaa kwenda shule akiwa bado ana usingizi,,Mtoto anaamka asb. lakini haendi shule ukiuliza anakwambia kichwa kinauma sana.Ukimpeleka zahanati, mkiwa njiani anakwambia nimepona kichwa hakiumi tena.
Na shuleni huko hakuna anachosikiliza bali anapiga usingizi na jioni anakuletea HW.Mtoto anaamka akijiandaa kwenda shule akiwa bado ana usingizi,,
Analala njia nzima hadi anafika shule yupo hoi..
Nadhani pia mtoa mada alikuwa na maana hiyo, msimamie mtoto afanye homework yake, siyo umpe majibuNilivyomwelewa mtoa mada ni kuwa wewe kazi yako ni kuhakikisha unamsimamia mtoto na kuhakikisha amefanya kazi zake. Sio umfundishe au umpatie majibu. Ni sawa na unapomsimamia na kuhakikisha anafanya mambo yake mengine.
Lakini hivi kumfundisha mtoto wako (kama unaweza) kuna tatizo lolote?
Mtihani ukija wanapata matokeo ya kutengeneza..Na shuleni huko hakuna anachosikiliza bali anapiga usingizi na jioni anakuletea HW.
Yep! Waalimu wanajua kuchezesha karata zao vizuri sana ili mkono uende kinywani. Utasikia mara kuna tuisheni, ziara mbuga za wanyama au kutembelea mapango ya amboni n.k. Mzazi anatakiwa atoe mchango ili mtoto wake aweze kushiriki kwani ni hiyo ni ziara muhimu kwake kimasomo. Na Ole wako usipotekeleza; hapo nyumbani nakwambia hapatakaliki, dogo ni kilio mtindo mmoja.Mtihani ukija wanapata matokeo ya kutengeneza..
Ili ada zitoke kwa wakati
Ndo hiyo Mwl. analalamika kwamba wazazi wanaitumia kuwapa majibu watoto kwenye HW.Siku hizi kuna Chat GPT AI
Halafu sio pesa ndogo,,kianzio 80k au 100k kila wanafunzi..Yep! Waalimu wanajua kuchezesha karata zao vizuri sana ili mkono uende kinywani. Utasikia mara kuna tuisheni, ziara mbuga za wanyama au kutembelea mapango ya amboni n.k. Mzazi anatakiwa atoe mchango ili mtoto wake aweze kushiriki kwani ni hiyo ni ziara muhimu kwake kimasomo. Na Ole wako usipotekeleza; hapo nyumbani nakwambia hapatakaliki, dogo ni kilio mtindo mmoja.
Ndiyo. Na aujue hiyo hainaga cha Mkaguzi-Auditor. Inakwenda tu Shwaaap.Halafu sio pesa ndogo,,kianzio 80k au 100k kila wanafunzi..
Juzi wametoa kali eti motisha kwa walimu sh 30K.. duuNdiyo. Na aujue hiyo hainaga cha Mkaguzi-Auditor. Inakwenda tu Shwaaap.
Hatari sana. Wazazi wanakwepa sana na hawapendi kuhusu mtoto kucheza wakidhani mtoto anapoteza muda kujifunza taaluma.Mtoto lazima apate muda wa kucheza, kupumzika na kusoma.
Sasa hawa walimu wa sasa wanafanya watoto hawapati muda wa kupumzika wala kucheza,
Hii ni hatari kwa afya ya akili...
Wazazi tunakosea pakubwa sana,Hatari sana. Wazazi wanakwepa sana na hawapendi kuhusu mtoto kucheza wakidhani mtoto anapoteza muda kujifunza taaluma.
Mimi sio mwalimu ila najaribu kuwasoma wote wawili, mtoa mada yupo sahihi. Kumsimamia mtoto afanye home work au akirudi akioga, mwambie ashike daftari afanye home work, hakuna Home Work inayozidi lisaa limoja. Sasa nashindwa kuelewa hao wajinga wanaosema eti wanalipa ada kubwa, naamini kabisa hakuna anayelipa ada kubwa hapo.Nilivyomwelewa mtoa mada ni kuwa wewe kazi yako ni kuhakikisha unamsimamia mtoto na kuhakikisha amefanya kazi zake. Sio umfundishe au umpatie majibu. Ni sawa na unapomsimamia na kuhakikisha anafanya mambo yake mengine.
Lakini hivi kumfundisha mtoto wako (kama unaweza) kuna tatizo lolote?
Tumekuwa wazembe kiasi kwamba hata majukumu yetu ya malezi tunatamani tutoe pesa wengine watufanyie.Mimi sio mwalimu ila najaribu kuwasoma wote wawili, mtoa mada yupo sahihi. Kumsimamia mtoto afanye home work au akirudi akioga, mwambie ashike daftari afanye home work, hakuna Home Work inayozidi lisaa limoja. Sasa nashindwa kuelewa hao wajinga wanaosema eti wanalipa ada kubwa, naamini kabisa hakuna anayelipa ada kubwa hapo.