Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

Mbona hospitali zà serikali tunaulizwa makabila kwani wanayafanyia nini hayo makabila sinitakwimu tu jamani
 
Sasa si uwende kwenye hospital nyingine kwani lazma hapo.
 


Umewahi kutibiwa kwenye hospitali ngapi kubwa?

Hospitali zote kubwa, hasa zenye mifumo thabiti, mgonjwa huulizwa dini yake, na hujazwa kwenye taarifa za mgonjwa .

Dhamira ni moja tu kumtambua mgonjwa ili kama endapo mgonjwa atatakiwa kupata msaada wa kiroho, apewe na viongozi wake wa kiroho. Kumbuka kuna dini ambazo viongozi wao hutembelea wagonjwa mahospitalini ili kuwapa huduma za kiroho waumini wao. Pale ambapo mgonjwa hajiwezi, taarifa zake zitatosha mtu huyo kupewa huduma.

Lakini kuna wagonjwa wanafariki wakiwa hawana ndugu walioambatana nao, basi wanapozikwa, wazikwe kwa taratibu za dini zao.
 
Ili wazingatie imani yako katika huduma zao utakazopata ukiwa hapo..kukupatia Padre unapokuwa kwenje hatari ya kifo n.k
 
Unachokisema Ni Ukweli Mtupu Chuki Imewazidi Kipimo.
Kuna Uzi Humu Unazungumzia Mwalimu Wa Madrasa Kumchapa Mwanafunzi Fimbo Ukisoma Humo Maoni Ya Makafir Utaogopa Alafu Ni Watu Wasio Penda Kushirikisha Akili Zao Zaidi Ya Mihemko Tu.
Wanasahau Hakuna Kesi Hata Moja Ya Mauaji Inayomuhusu Mwalimu Wa Madrasa Ila Hizi Shule Za Serikali Haipiti Miezi Sita Utasikia Mwalimu Wa Shule ......Amemchapa Mwanafunzi Na Kupelekea Kifo Ila Hawa Makafir Hayo Yote Hawayaoni.CHUKI TU.
 
Maalim Raphael sioni tatizo kama wanauliza dini. Labda wanataka kuwa na taarifa zako kamili ili lolote likikupata iwe rahisi kukusaidia kwa mujibu wa desturi zako.

Hata Police huwa wanauliza dini kabla hawajakuweka selo
 
Kama Maelezo Ni Kweli Basi Lengo Lao Sio Zuri.
Kwa Kuwa Walipogundua Wakristo Wachache Wanatumia Kigezo Cha Dini Kujinufaisha Kidini.
Na Inaonekana Huduma Hazitolewi Kiusawa Itakuwa Waislam Wanapendelewa Ili Wawateke Waone Kwamba Ukristo Ni Bora Kuliko Uislam Lengo Ni Kubatiza Waislam Kiujanja.
 
Hao magaidi si walisha dhibitiwa na serikali
 
Dunia Haina Fear Kabisa.
Kungekuwa Na Usawa Ilitakiwa Wewe Ndo Uolewe Na Huyo Unayemwita Mkeo Ndo Aoe Maana Sio Kwa Akili Hizi Ulizonazo.

Uislam Haujui Na Ukristo Haujui Zaidi Ya Kufuata Mkumbo.
 
Sijatafsiri udini mkuu. Nashukuru kwa jibu lako. Je waonaje sensa ya nchi ikahusisha dini ili kusaidia kila mwenye lengo la kukusanya taarifa za kidemografia kwakuwa imeonekana hilo ni jambo muhimu.
Kila tafiti huwa zina malego makuu. Sensa huwa ni kutafuta takwimu kwa minajiri ya kupanga mipango ya maendeleo ya nchi. Dini na kabila katika kupanga mipango ya maendeleo ya nchi haina umuhimu kama umri au jinsi au upatikanaji wa huduma za kijamii etc.

Nakaa pale kama una swali tena uniulize
 
Hizo ni hisia tu!!!!

Umuhimu wa dini na kabila katika Afya unatokana na desturi za watu wa dini fulani kuweza kuzuia magonjwa fulani au kuweza kukaribisha magonjwa fulani. Mfano Waislamu ukitoka choo lazima ujisafishe na maji tiririka. Wakati wakristo wanatumia Toilet Paper au majani kujipangusa. Kama ni mtoto wa kike kwa mwislamu kupata UTI ni nadra sana ila mtoto wa kikristo yupo vulnerable na kupata UTI kutokana na kinyesi. Hivyo ukienda kwa daktari ambapo hakuna vipimo uaksema mtoto ana homa, kama ni mwislamu daktari hatakimbilia UTI ila kwa mtoto wa Kikristo atafikiria pengine ni UTI na inatokana na mwingiliano wa kinyesi.
 
Kwenye form ya usajili wa mgonjwa kuna sehemu ya dini, kabila, marital status n.k. vingine msajili anaweza akaviruka tu akajaza kinachomjia kichwani ingawa nafikiri kuuliza hizi taarifa inakua rahisi kua na takwimu fulani fulani.

Mfano; Ugonjwa X unawapata sana kabila fulani, ingawa ukideep unakuta wakristo wengi wanaugua kuliko waislamu, na waislamu waliougua wote wanaishi eneo karibu na wakristo.

So inaweza onyesha ugonjwa umepatikana wakristo walienda kubatizwa mtoni, wakabeba vijidudu wakarudisha kwa majirani zao waislamu
 
Acha ufala ww hebu google "COMPONENNTS OF BIODEMOGRAPHIC DATA"
 
Uende hospitali ya Bakwata, huko hutasumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…