Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

Kuna mengi hapo
Kuna wanawake wake wa waislamu huingiliwa kinyume cha maumbile pia hivyo akifika muda wa kujifungua hutakiwa kuswekwa mipamba nyuma huko ili aweze kusukuma mtoto
Hivyo kuepusha hilo hutaka madaktari wanaume wasiwaguse wasijue siri mbaya za huyo mume wa huyo mwanamke

Hiyo hospital kuuliza dini kuna mengi nyuma ya pazia au mwanaume akiumwa UTI kali wanaweza jua wadudu aliwatoa wapi nyuma au mbele sababu wanajua watu wa dini fulani kwa kubeba maradhi ya nyuma kawaida.Ndio maana huuliza dini wajue waanzie wapi na huyo mtu
kwa pwani watu wa dini zote washachafuka na usodoma huo, hapo sitakubaliana na wewe though maeneo kama tanga na zanzibar ni extreme kwa wanawake karibia wote.ila kwa kuishi na waislam kwa miaka mingi, nimekuja kugundua kuwa hawataki kabisa hata umguse tu mke wake, sembuse akienda hospitali ashikwe na kupimwa kwa vidole, ashikwe kalio achomwe sindano, n.k. na wanawake wengi wa maeneo hayo ukikutana nao wanavaa kwa kujifunika utafikiri wa dini fulani kumbe sio ni utamaduni wa maeneo hayo tu.
 
Ile ni hospitali inayomilikiwa na taasisi kidini. Hivyo, ni dhahili inapata ufadhili kutoka kwa wafadhili na wabia mbalimbali. Hawa wafadhili/wabia huwa wana masharti kadhaa ikiwemo kutokuwa na upendeleo wa kidini katika kutoa ajira na kuwahudumia wateja. Na lazima kuwe na uthibitisho kuhusu hili.
Sasa; kwa upande wa ajira ni rahisi kupata hizo taarifa maana unapoajiriwa kwenye datasheet kipengele cha dini yako kinakuwepo hivyo ni rahisi kupata uwiano.

Upande wa wateja sio rahisi kuthibitisha hilo. Ndio maana hizo taarifa zinaombwa ili mwishoni kuthibitisha watu wote wanahudumiwa bila kigezo cha dini.

Hata hivyo, hapa nimetumia mfano wa hospitali tofauti na hiyo ambayo taarifa za dini ya mgonjwa zinaombwa kwa lengo hilo. Sina uhakika kama na hospitali hii inaziomba kwa lengo linalofanana na hili.

Asante
 
Hizo taasis za dini zingine bado zinajiendesha kwa michango ya waumini wao mf kuna seminaries kibao waumini wanachangishwa pengine lengo ni kuwatambua ili wapate discounts wakipatiwa huduma.

BTW:Wakati wa ujenzi wa Chuo cha SAUT kulikuwa na Michango na Harambee za kufa mtu parokia zote jimbo Kuu katoliki la Mwanza miaka hiyo 2001 nafikiri wao pia walihitaji utaratibu wa kuwatambua walioshiriki ujenzi ili kuwapunguzia ada walau mtoto mmoja.

Wawe wanatoa IDs kama za wachangia damu ili wapate vipaumbele kwenye huduma.
 
Ile ni hospitali inayomilikiwa na taasisi kidini. Hivyo, ni dhahili inapata ufadhili kutoka kwa wafadhili na wabia mbalimbali. Hawa wafadhili/wabia huwa wana masharti kadhaa ikiwemo kutokuwa na upendeleo wa kidini katika kutoa ajira na kuwahudumia wateja. Na lazima kuwe na uthibitisho kuhusu hili.
Sasa; kwa upande wa ajira ni rahisi kupata hizo taarifa maana unapoajiriwa kwenye datasheet kipengele cha dini yako kinakuwepo hivyo ni rahisi kupata uwiano.

Upande wa wateja sio rahisi kuthibitisha hilo. Ndio maana hizo taarifa zinaombwa ili mwishoni kuthibitisha watu wote wanahudumiwa bila kigezo cha dini.

Hata hivyo, hapa nimetumia mfano wa hospitali tofauti na hiyo ambayo taarifa za dini ya mgonjwa zinaombwa kwa lengo hilo. Sina uhakika kama na hospitali hii inaziomba kwa lengo linalofanana na hili.

Asante
hii hoja sio nzito. hospitali za wakatoliki kama ile hawawajibiki kwa wafadhili kihivyo, na hata wafadhili wangekuwepo wangependa zaidi waislam watibiwe kwa sababu ndio imekuwa njia ya kuiwaita watu kwenye dini yao tangu wamisionari walipokuja hapa nchini miaka hiyo. labda kama wangependa watu wengi wanaotibiwa wajulikane ni waislam ili wafadhili (kama kweli wapo) wawape pesa kwa sababu wafadhili wangependa kuhudumia zaidi hao walio nje ya dini ili kuwavuta waingie ndani. ila napenda kuwahakikishia waislam kuwa, hao wakatoliki wasingejenga hospitali kuwahudumia ninyi kama wanawaachukia, never, hawawachukii.
 
Au hii hospital imeanzishwa na wale magaidi wa Cabo Delgado wa Mozambique nini?
Tunajua pembeni ya Mtwara kuna kundi la kigaidi ambalo linawakata watu vichwa na ili usalimike wanakuuliza maswali kutoka kwenye kitabu kitakatifu cha Quran, ukishindwa kujibu wanajua wewe sio muislam wanakukata kichwa
Sasa hii hospital umeambiwa ya wakristo
 
Kuna watu hawana dini
Unajibu sina dini hakuna shida.
Yeye atajua kwenye mfumo ajaze nini.
Hiyo hospital imeanzishwa na wajerumani wa Benedictine Fathers wakati wa ukoloni enzi hizo wateja wao karibu 70 ni wapagani.
Unadhani hawakutibiwa?
 
Kwani umezuiwa kutukana,we tukana tu
Kwa kua ni ST Benedict ni sawa ila hiyo hospital ingekua inaitwa Sheikh Ally memorial hospital.
Naamini watu wangeharisha matusi,kejeli na maneno mengine yasio faa kwenye huu uzi kuhusu waislam na uislam.
Wakristo ni moja kati ya watu wanafiki wa kiwango cha juu sana.
 
Mkuu hilo mbona ni jambo la kawaida tu. Hizo taarifa ni kwaajili ya demographic purposes tu nakumbuka hata mashuleni pamoja na kwenye taasisi nyingine taarifa kama dini, kabila huwa tunaulizwa....

Nakumbuka wakati fulani kwenye taasisi fulani nyeti niliwahi fanyiwa vetting na moja na maswali niliyoulizwa ni DINI pamoja na KABILA.

So sioni kama kuna shida yoyote labda itokee tu tupate ushuhuda kuwa huduma anayopata mtu wa dini fulani ni tofauti na aipatayo mwingine wa dini fulani. Hapo kutaka na changamoto sasa.

Unajibu sina dini hakuna shida.
Yeye atajua kwenye mfumo ajaze nini.
Hiyo hospital imeanzishwa na wajerumani wa Benedictine Fathers wakati wa ukoloni enzi hizo wateja wao karibu 70 ni wapagani.
Unadhani hawakutibiwa?
Lengo lao hasa ni nini kama sio racism?
 
Lengo lao hasa ni nini kama sio racism?
Kwanini unahitimisha udini wakati hujui lengo lao?
Ukijua utakuwa na nafasi nzuri kuhukumu.
Unajuaje kama lengo ni kutoa zile sakramenti ya watu walio karibia kufa (wagonjwa) endapo magonjwa akiwa kwenye hali hiyo?
Unajuaje labda wanatembelea wakatoliki wenzao kuwapa sakramenti za kitubio na ibada zingine wodini?
Hakuna muislam anaye katazwa au lazimishwa kwenda pale.

Punguzeni malalamiko,kujihisi, inferiority complex na prejudice!
 
Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
Wanauliza ili kama utatumia jeneza au sanda kuondosha usumbufu.
 
Kwanini unahitimisha udini wakati hujui lengo lao?
Ukijua utakuwa na nafasi nzuri kuhukumu.
Unajuaje kama lengo ni kutoa zile sakramenti ya watu walio karibia kufa (wagonjwa) endapo magonjwa akiwa kwenye hali hiyo?
Unajuaje labda wanatembelea wakatoliki wenzao kuwapa sakramenti za kitubio na ibada zingine wodini?
Hakuna muislam anaye katazwa au lazimishwa kwenda pale.
Me mwenyewe mkristo ila sion logic yake na me nkienda kwenye hiyo hospital ntawauliza maswali ya kutaka kuelewa unless otherwise mnasema sina dini. Mtu anahitaji Panadol we unataka kujua dini yake ufanye nayo nini ? Unadhani prejudice ilianzaje huko mashariki ya mbali ? Itafika muda wa mgonjwa kuwekewa drip mtu anaenda ukimpa mtu sacrament sijui ya kitubio we huoni kama hapo kuna controversy inatengenezewa?.. kwanza MUNGU hana dini kama ishue ya dini inahusiana na MUNGU. Kimsingi hapo wanatakiwa wacut the crap waache kuuliza mambo ya dini watibu watu wote sawaaa
 
Pumbavu unafikiri kwa kutumia kinyeo chako

Ndanda ukifika hakuna mtu atakayekuambia kuwa umefika kwenye ngome ya wakristo

Hospital ni ya kikristo (japo serikali ina mkono)

Kuna chuo Cha manesi Cha kikristo hata ukiwa muislamu lazima uende kanisani

Kuna chuo Cha masister na ma brother
Mkuu huwezi kujibu bila kutukana ?
 
Sijatafsiri udini mkuu. Nashukuru kwa jibu lako. Je waonaje sensa ya nchi ikahusisha dini ili kusaidia kila mwenye lengo la kukusanya taarifa za kidemografia kwakuwa imeonekana hilo ni jambo muhimu.
Kwa maelezo yako tu unaonekana una lengo la kuleta udini hapa.
 
Back
Top Bottom