Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
kuna baadhi ya dini hasa waislam, hawapendi daktari mwanaume amhudumie mgonjwa mwanamke au aone sehemu zao za siri. mfano, kwenye uzazi, wamama wakienda clinic au kujifungua tunajua wanaenda bila kuwa na nguzo za ndani hata kama umezoea kuvaa ninja ila kule utachojoa, naamini ni busara kumjua mtu ili kumpangia daktari wa jinsia anayotaka, sidhani kama wanafanya hivyo ili kuwabagua kimatibabu la sivyo hao wazungu wasingejengaga hospitali hapo kwa sababu hata wakristo huko ni wachache unafikiri walimjengea nani sasa kama sio kwamba waliwajengea waislam?. yapo mengi kwenye hilo, msihukumu bila kufanya uchunguzi.
 
Nimekupa na ushauri kuwa siku nyingine taja dini tofauti na uliyo taja uone nini kitatokea ....kuhusu kujua dini wakati mwingine ni vyema pale mambo yanapo hitaji kufika hatua ya kipolisi au kipelelezi ...kuna emergency mbali mbali mahospitalini
majority ya wanaume washika dini ya kiislam hawapendi mke wake agusweguswe na daktari wa kiume au pengine hat akupimwa njia (viginal examination) na mwanaume, au kushikwa tumbo, ultrasound, extray nakadhalika. wakristo sisi mke wangu uzazi wake wote amesaidiw ana daktari wa kiume na i am just happy. hivyo wakati mwingine ni muhimu kujua dini ili apangiwe daktari wanayemtaka.
 
Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
Sasa we Maalim ulitaka wasikuulize ili ujilipue au??
 
majority ya wanaume washika dini ya kiislam hawapendi mke wake agusweguswe na daktari wa kiume au pengine hat akupimwa njia (viginal examination) na mwanaume, au kushikwa tumbo, ultrasound, extray nakadhalika. wakristo sisi mke wangu uzazi wake wote amesaidiw ana daktari wa kiume na i am just happy. hivyo wakati mwingine ni muhimu kujua dini ili apangiwe daktari wanayemtaka.
Hayo ni mawazo binafsi ya mtu ...maana hata mke wa muhammad alipakiwa kwenye ngamia na wanaume mwingine ...muhammad akulalamika kwa icho kitendo bali kilicho mfedhehesha muhammad ni tetesi za uzinzi kwenye hilo tukio...na wahi ulipo shuka kuhusu hilo tukio hatukusikia wahi ukilaani kile kitendo cha mke wa mtume kupakiwa na mwanaume kwenye ngamia bali wahi ulikuja kuondoa utata wa zinaa tu FaizaFoxy Bwana Utam adriz Malaria 2
 
Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
Kuna mambo huku africa ya kifala sana. Mtu anaumwa unamuuliza dini as if tiba inachagua dini.
 
. Kilichokuumiza zaidi ni nini baada ya kuulizwa hilo swali???

. Alafu thread yako ni ya kipuuzi sana, mbona majina yanajulikana tu, kama ni kobaz au ni Benedict.
 
Umewahi kutoa taarifa polisi? Hili swali uliulizwa au hukuulizwa?

Umewahi kuandikisha mtoto shule? Uliulizwa au hukuulizwa?

Umewahi kutibiwa na kulazwa hospitali za serekali zile kubwa? Ulitoa taarifa zako binafsi uliulizwa au hukuulizwa hilo swali?

Umewahi kujaza taarifa zako uhamiaji labda kupata hati ya kusafiria au kingine chochote, hukuulizwa hilo swali?

Hicho ni kitu cha kawaida sana. Wewe ndio mdini umeleta hii mada ili kuchochea mada za kidini

Tunakupuuza!
 
Anza kwenye cv Yako.
Kwanini Kuna kipengele cha religion.¿???
Kina umuhimu Gani?
Marital status sawa ila religion???!!!
 
Kujibu sio shida, ila unadhani hizo data za dini ni kwa matumizi gani mkuu? Nisaidie nifahamu.
Na polisi jee maswali ya dini na kabila kwa mtuhumiwa huwa zina kazi gani? Nadhani ni mapokeo tu kwa taasisi kongwe zilizokuwapo toka enzi za ukoloni. Hiyo hospitali ni kati ya taasisi kongwe
 
Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
Hii ni mbaya na Haina mustakabali mzuri wa mshikamano wa jamii
 
Anza kwenye cv Yako.
Kwanini Kuna kipengele cha religion.¿???
Kina umuhimu Gani?
Marital status sawa ila religion???!!!
hivi wangekuwa na chuki dhidi ya waislam, wangejenga hospitali eneo lenye population kubwa ya waislam ili kuwahudumia waislam?
 
Salaam wanajamvi!

Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.

Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa huku Kusini mwa Tanzania.

Hata hivyo, katika mchakato wa Usajili nilipata ukakasi baada ya kuulizwa dini yangu. Ilinichukua sekunde takribani 20 kutafakari na kujibu swali kwakuwa sikuona haja na hoja ya msingi kwa mteja kuulizwa swali hilo.

Niliamua kumuhoji mhudumu wa mapokezi kuhusu umuhimu wa kuwatambua wateja kwa dini zao, alijibu kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu mantiki ya hilo bali anachofahamu hilo ni hitaji la lazima la usajili na mfumo wa usajili hauendelei kama kitarukwa kipengele cha dini.

Kwakuwa jamii Forums ni chaka la magwiji, majagina na maguru naomba kwa yeyote mwenye ujuzi anijuze iwapo ipo hoja na haja ya Mamlaka ya Hospitali hii ya Wakatoliki kuuliza dini za wateja.

Naomba kuwasilisha.View attachment 3251613
Kwani ukiwajibu unapungukiwa nini Sheikh wangu!

Vipi kama wana utaratibu wa kuwaombea wagonjwa wao waliolazwa kila siku asubuhi ili wapate heri? Na isitoshe RC huwa wana utaratibu wa kutoa sakramenti ya mpako mtakatifu kwa wale wagonjwa walio kwenye hatari ya kifo! Je, wakija kukupatia huduma zao za kiimani utakubali?

Next time ukiona hiyo hospitali ina vitu ambavyo wewe binafsi huvutiwi navyo; acha kwenda Sheikh wangu ili ujiongezee siku zako za kuishi. Nenda hospitali za serikali, au nyingine za binafsi zisizokuwa na huo utaratibu.
 
Because they're racists.
Kwani huyu jamaa yeye ni muhindi au mzungu? kama ulitaka kusema ni wabaguzi basi badala ya racist ( ambao ni ubaguzi wa rangi pekee)ungetumia neno bigot ambao ni ubaguzi wa jumla racial, ,religion,ethnicity etc
 
hivi wangekuwa na chuki dhidi ya waislam, wangejenga hospitali eneo lenye population kubwa ya waislam ili kuwahudumia waislam?
Hawa wenzetu ni watu wa kulalamika mno.
Huduma za kijamii kama Hospital shule na vyuo hawaezi.
Serikali ikiona umejitahidi umeweka Hospital mahali inatoa ruzuku. Wanalia Tena mfumo kristo.
Looh...... Ajabu hii.
 
majority ya wanaume washika dini ya kiislam hawapendi mke wake agusweguswe na daktari wa kiume au pengine hat akupimwa njia (viginal examination) na mwanaume, au kushikwa tumbo, ultrasound, extray nakadhalika. wakristo sisi mke wangu uzazi wake wote amesaidiw ana daktari wa kiume na i am just happy. hivyo wakati mwingine ni muhimu kujua dini ili apangiwe daktari wanayemtaka.
Kuna mengi hapo
Kuna wanawake wake wa waislamu huingiliwa kinyume cha maumbile pia hivyo akifika muda wa kujifungua hutakiwa kuswekwa mipamba nyuma huko ili aweze kusukuma mtoto
Hivyo kuepusha hilo hutaka madaktari wanaume wasiwaguse wasijue siri mbaya za huyo mume wa huyo mwanamke

Hiyo hospital kuuliza dini kuna mengi nyuma ya pazia au mwanaume akiumwa UTI kali wanaweza jua wadudu aliwatoa wapi nyuma au mbele sababu wanajua watu wa dini fulani kwa kubeba maradhi ya nyuma kawaida.Ndio maana huuliza dini wajue waanzie wapi na huyo mtu
 
Nmefanya kazi hapo na waislamu tulikua wengi tu
kuuliza dini kunasaidia faham baadhi ya details kama polygamy kutahiri blood transfusion na vinginevyo

Kaulimbiu ni Sala na kazi
hapo hauruhusiwi kutumia Njia za mpango za kisasa
 
Kwa kua ni ST Benedict ni sawa ila hiyo hospital ingekua inaitwa Sheikh Ally memorial hospital.
Naamini watu wangeharisha matusi,kejeli na maneno mengine yasio faa kwenye huu uzi kuhusu waislam na uislam.
Wakristo ni moja kati ya watu wanafiki wa kiwango cha juu sana.
Sasa si mjenge hospitali zenu za Sheikh Ally Memorial Hospital nchini kote!! Malalamiko ya nini kwa watu walio jiwekea utaratibu wao?

Au ni kosa kisheria kumuuliza mtu kuhusu dini yake? Na kwa nini mnajisikia vibaya kuulizwa swali la aina hii?
 
Back
Top Bottom