Huyu jamaa kweli chizi, sasa huo mkusanyiko mbona raia hajawapa tahadhari ya kuambukizana CORONA?? Kajidharaulisha saana.Hapa viongozi wetu walikuwa wanatoa hotuba zinazohusu mashirikiano ya kimataifa ktk nyanja mbalimbali kuanzia afya, siasa za kimataifa, ushawishi wa Tanzania ki geopolitics na kikanda.
Kuhusu hotuba inayoangazia masuala ya siasa za ndani ya nchi kama hotuba ya Barack Obama, kwa Tanzania upande wa upinzani wapo vizuri kuainisha changamoto zetu kwa undani kuliko chama cha CCM.
Weka na za Trump
This is one of my favorite speech ever.bagamoyo,
..hebu msikilize John Kennedy ktk hotuba aliyotoa 1962.
..mara ya mwisho mwanasiasa wa Tz kutuunganisha wote, na kutuhimiza kufanya, mambo makubwa ilikuwa lini?
" We choose to go to the Moon in this decade and do the other things, not because they are easy, but because they are hard; because that goal will serve to organize and measure the best of our energies and skills, because that challenge is one that we are willing to accept, one we are unwilling to postpone ..." -- John Kennedy
This is one of my favorite speech ever.
By the way Obama, yuko inspired sana na speech za JF Kennedy.
Huyu mwamba anatumia plain simple english zenye ujumbe mzito kwa wavuja jasho wa Marekani, huwezi kulinganisha na hawa wa CCM Mpya hotuba zao kwa lugha yetu mama kwa kiswahili chepesi hawawezi kuwasilisha fikra, mawazo na visheni kwa mwananchi wa kawaida.
Hamna kitu hapaH.E President John Pombe Magufuli speech 2017