SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Acha utani kuwa seriousI'm a active member of team kataa ndoa no utapeli
But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)
So mademu tends to fear me
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna mtoto apa najifungua ni wa kike msubirie kidogo😹Namngoja yule ambae nikiwa chuo waalim walisema ndio anazaliwa.
Na ndiyo kikwazo kwangu pia. Nikisema nioe msomi atanitapeli. Nikisema nioe mshamba ni tabu pia. Bora nisioeIle sheria ya kugawana mali za kidume ndio kikwazo
Sawa mama mkweKuna mtoto apa najifungua ni wa kike msubirie kidogo😹
Wengine kila Siku tupo masafa kwenye mitikasi ya kimaisha tunasaka mkwanja. Sasa ukioa si utakuwa umeolea masela. Bora nibaki bachela kwanza.Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa .
Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa .
Usiniangushe mwananguSawa mama mkwe
Muda bado hauja wadiaKama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa .
Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa .
Sawa mama mzaa chemaUsiniangushe mwanangu