Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Kuna ishu nasikilizia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapata BikraKama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa .
Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa .
Kwa hali hii utaoa kweli🤣?Sijapata Bikra
Upo kama mm mkuu ila mi nipo CHAPUTA piaI'm a active member of team kataa ndoa no utapeli
But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)
So mademu tends to fear me
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kweli Mkuu, Nina watoto sita ambao wote nimezaa na na Wanawake nlowakuta Wana mtoto Mmoja .Kwa hali hii utaoa kweli🤣?
Sisi wagane huu uzi unatuhusu?Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa .
Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa .
Naona vituko tu kwa ninaokutana nao na hili swali unaoa lini nimelizoea.Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa .
Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa .
Asingekuwa anatoa mimba nae ungemkuta ana watoto.Kweli Mkuu, Nina watoto sita ambao wote nimezaa na na Wanawake nlowakuta Wana mtoto Mmoja .
Watoto wawili nmezaa na ambaye nilimkuta Hana Mtoto ila tatizo hakua na Bikra.
Sasa nafanyaje?
Bora syph kuliko UkimwiPisi za sasa zikikukosa na ukimwi basi utaangukia kwenye syphilis.
Beautiful ones are not yet bornNamngoja yule ambae nikiwa chuo waalim walisema ndio anazaliwa.
Naunga mkono hojaYani nitafute hela zangu kwa jasho, nije nifuge mtoto wa mtu azitumbue kiulaini ? Bila jasho, ajimilikishe na mali zangu ? Tena anipe na presha nife kabla ya siku zangu kutimia ? Kama ni family (watoto) ninao