Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Sijaoa na sitarajii kuoa kwa sababu ndoa nilizo shuhudia kuanzia 2015 mpaka muda huu nyingi zinapumulia mashine na karibia nusu zimeshavunjika.
Kwa Ninavyoifahamu akili yangu nikijidanganya nikaingia kwenye ndoa sijui kama nitamaliza mwaka
tuko wengi chief, Kuna maisha fulani huwa nina jiambia hii ita nisumbua.
 
Back
Top Bottom