Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

downloadfile-2.jpg
 
Kwa kwel kila nikiona matendo ya dada zetu nakata tamaa kabxa make ni kama unaweka maisha rehan iv..
  • Ndo najiulza niingie kikaangon au? moyo unakataa.
  • ila nina watoto wawil tena mama tofaut, huon ulahs xaiv nikitaka kuongeza ntaongeza. Wanagawa sana wamefanya bidhaa imekua cheap na rahs kuipata ndo maana tunakataa ndoa ni utapel.
  • unaoa mdada unaweka ndan umpambanie, umfikishe kilelen afu anakucheat, analeta kiburi tena kupitia wew anataka akamilixhe ndoto zake.
HUO SI NI WIZ
 
Hakuna wanawake wa kuoa miaka hii, wengi ni majizi,matapeli na wasaliti.

Unaoa litoto la mtu halafu linakuja kukufanya daraja la kutimiza malengo yake binafsi likisaidiwa na sheria mbovu kandamizi za ndoa...!!

Hapana kabisa, sema NO TO MARRIAGE in our modern times.
 
Back
Top Bottom