feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Wewe umeolewa? SweetyCandy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Donatila nimekuona kwenye group la harusi! Nikauchuna tu, You Know 😂Masingula mnaitwa kwenye kikao...
Mwaga sifa zake hapa pengine atapata mume hapa hapa.sio kwamba mimi nataka kumuoa,bali mimi huwa nasaidia watu kuoana.Mimi Mungu amenijalia wake 2 na naishi nao hadi leo
Sijui nitafutie moaji mwenye tabia kama zako wa ukweli mtoaji na tajiri hata kama hana nguvi zakiume tutatafuta tuBest wewe umeolewa tayari au bado
HapanaWewe umeolewa? SweetyCandy
Kwanini? Je umeshafika floo ya 3?Hapana
Hahahaha,huu mtihani mbn mgumu Best, hasa hizo sifa unazozitakaSijui nitafutie moaji mwenye tabia kama zako wa ukweli mtoaji na tajiri hata kama hana nguvi zakiume tutatafuta tu
Niko tayari kuwa nae, fanya mchakato wa jinsi ya kutukutanishaumri 34,umbo la wastani,mweusi,hajichubui na hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa viwanja,mkatoliki na ana shahada 2,hajazaa na ni mtumishi
Sio kwamba una shinda na tisheti lako la yanga mwanzo mwisho mpk wadada hawakutaki.... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wanaona hili dume litabetia nyumbaI'm a active member of team kataa ndoa no utapeli
But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)
So mademu tends to fear me
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😂😂😂Anasemaje kwani, sijaelewa kabisa
Nipate huyu 🤴umri 34,umbo la wastani,mweusi,hajichubui na hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa viwanja,mkatoliki na ana shahada 2,hajazaa na ni mtumishi
Mpaka ufe kwa dipresheni 🤣🤣🤣Namngoja yule ambae nikiwa chuo waalim walisema ndio anazaliwa.
Si ndio raha 😅😂Mpaka ufe kwa dipresheni 🤣🤣🤣
Hakuna raha kwenye dipresheni bwana🤣Si ndio raha 😅😂
Huo ujumbe umeandika ukiwa 'Leba' au...?Kuna mtoto apa najifungua ni wa kike msubirie kidogo😹