Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwa Wakristo,

Mtu akifunua biblia katika nyaraka za Paulo., akawasomea watu.

1 Wakorinto 7: 1-9.

Bado maswalii yatakuwa Mengi, sana.
1 Wakorintho 7:1-9
1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

6 Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.

7 Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.

8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kul
iko kuwaka tamaa.
 
Kiukweli mambo ya ndoa ni magumu, lakini lazima mkumbuke wapo baadhi yao wanafurahia ndoa. Ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe, ni rehema zake tu na yeye ndie atakaye fanikisha.
 
Back
Top Bottom