Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kila nikifanya jaribio la kuoa mtu ninaemtaka namkosa naambulia watu nisiowataka.

Hivi majuzi nilitaka kupeleka posa kwa mtoto flani wa kiha mama yake kagoma.

Kuchunguza sababu kumbe mama anataka awe mshangaxi kwangu...

hapana kwa kweli nakataa ndoa
 
Back
Top Bottom