Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

Wengine kila Siku tupo masafa kwenye mitikasi ya kimaisha tunasaka mkwanja. Sasa ukioa si utakuwa umeolea masela. Bora nibaki bachela kwanza.
Kuna wengine hawana haja yakulalana ovyooo,watu wanasaka pesa wanatafuta jinsi ya kutoka kwenye utegemezii. Wale ambao , wafanyaji wanamuda mie saivi nalala tu . Nakuamka nikikosa kazi za muhimu kufanya .
 
I'm a active member of team kataa ndoa no utapeli

But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)

So mademu tends to fear me

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile
I'm a active member of team kataa ndoa no utapeli

But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)

So mademu tends to fear me

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile ap

I'm a active member of team kataa ndoa no utapeli

But also I'm active member of UWABATA ( umoja wa wanaume bahiri Tanzania)

So mademu tends to fear me

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aisee, itabidi mwanamama Hellen Smith aje kufanya utafiti nchini,

Men on strike:Why men boycotting marriage,& fatherhood .

Mwanasaikolijia huyo namtafiti katika Taifa lake la Marekani,

Anasema kiufupi Men Wengi hawaoni faida katika ndoa, wanona kiduchu sana, huku kikombe Cha ghadhabu kikiwasubiri.
 
Kuna baharia kajitwisha zigo langu anataka kumaliza kabisa ila jamaa kajilipua huyu dogo ni mzuri, mjanja, na mtu wa viwanja hapa kamuektia jamaa yeye anahudhuria ibada za MWAMPOSA kama hana akili nzuri. Yan huyu dogo dressing style yake tu inawaita masela hata kama hajawaita, Yan daaah.... One man down kudadeki....Daaaaaah " I am single again" coh coh, yaw yaw so huu uzi technically unanihusu aisee
 

Attachments

  • 20250311_011319.png
    20250311_011319.png
    149.3 KB · Views: 2
  • 20250311_010513.png
    20250311_010513.png
    184.1 KB · Views: 2
Pisi za sasa zikikukosa na ukimwi basi utaangukia kwenye syphilis.

Pisi za sasa zikikukosa na ukimwi basi utaangukia kwenye syphilis.
Survival of the fittest, itachukua Mkondo wake, ndio wanawake zetu ndio jamii yetu.

Nimeona unapicha ya E=Mc^2.

Ripoti za side b ya Albert kwamba jamaa alikuwa Mtu wa totozi, kimyaa kimyaa.
 
Sababu zaweza kuwa.

1.Mwenza kuendana hajapatikana.

2.Jambo zito/ baya lilitokea katika mahusiano ya nyuma.

3.changamoto katikati mwili (Uzazi-Jogoo hawiki).

4.changamoto katika ndoa ni gharama.

5.Uamzi wa nafsi ya Mtu, hatakii kuoa.
 
Back
Top Bottom