Mahakama ya Rufaa kesi imefunguliwa na upande wa kina mwana FA. Mahakama ya Rufaa imeeleza vizuri sana imeirudisha mahakama kuu kasoro kipengele Cha kwanza katika vipengele vilivyopelekwa mahakama kuuNadhani wewe naye unazidi kutuvuruga. Kati ya hizo pande mbili, nani alifungua kesi Mahakama ya Rufaa?
Umeeleza vizuri. Na kwa kuongezea, Tigo walipinga hiyo mahakama iliyotoa hukumu HAINA uwezo hivyo kina Fa walikuwa warudishe hela walizolipwa. Sasa mahakama ya rufaa imesema shauri lisikilizwe upya mahakama kuu, na sio kina fa warudishe fedha..MAANA walishalipwa. Na ikasrma Kuna hoja za Tigo haxikusikilizwaga Nazi zisikilizwe wakati wa kesi...hivyo uwezekano ni mkubwa wa kina fa kushinda sababu ni kweli wimbo wao ulitumika...Tigo walifikir mahakama ya rufaa itasmrisha pesa irudishweHiyo ishu nilivyoielewa mimi akina fa walipeleka malalamiko mahakma kuu,
Mahakama kuu ikasema yenyewe haushughuliki na madai ya haki miliki hivyo ikabidi akina fa waenda mahakama ya wilaya ya kinondoni ambapo shauli lilisikilizwa halafu akina fa wakashindwa tito wakaambiwa wawalipe.
Sasa tigoo baada ya hukumu ya mahakama ya wilaya wakaenda kukata rufaa mahakama ya rufaa kupinga hukumu hiyo, sasa mahakama ya rufaa ikakubaliana na rufaa ya tito na kuamuru shauri hilo likasikilizwe na mahakama kuu .
Kwa uelewa wangu shauri hilo linaenda kuanza kusikilizwa upya mahakama kuu
Ushindi ungekuwa Kwa kina MwanaFA iwapo tu kesi ingetupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa ila kitendo cha kusema kesi irudi Mahakama Kuu na kuanza kusikilizwa upya haiwezi kuwa ushindi kwao hata kama hawakuambiwa warudishe pesa.Wewe
Umeeleza vizuri. Na kwa kuongezea, Tigo walipinga hiyo mahakama iliyotoa hukumu HAINA uwezo hivyo kina Fa walikuwa warudishe hela walizolipwa. Sasa mahakama ya rufaa imesema shauri lisikilizwe upya mahakama kuu, na sio kina fa warudishe fedha..MAANA walishalipwa. Na ikasrma Kuna hoja za Tigo haxikusikilizwaga Nazi zisikilizwe wakati wa kesi...hivyo uwezekano ni mkubwa wa kina fa kushinda sababu ni kweli wimbo wao ulitumika...Tigo walifikir mahakama ya rufaa itasmrisha pesa irudishwe
Kuna watu wanakupinga hapo kuhusu nani alipeleka kesi Mahakama ya RufaaMahakama ya Rufaa kesi imefunguliwa na upande wa kina mwana FA. Mahakama ya Rufaa imeeleza vizuri sana imeirudisha mahakama kuu kasoro kipengele Cha kwanza katika vipengele vilivyopelekwa mahakama kuu
Wewe
Umeeleza vizuri. Na kwa kuongezea, Tigo walipinga hiyo mahakama iliyotoa hukumu HAINA uwezo hivyo kina Fa walikuwa warudishe hela walizolipwa. Sasa mahakama ya rufaa imesema shauri lisikilizwe upya mahakama kuu, na sio kina fa warudishe fedha..MAANA walishalipwa. Na ikasrma Kuna hoja za Tigo haxikusikilizwaga Nazi zisikilizwe wakati wa kesi...hivyo uwezekano ni mkubwa wa kina fa kushinda sababu ni kweli wimbo wao ulitumika...Tigo walifikir mahakama ya rufaa itasmrisha pesa irudishwe
Sasa kwanini Tigo waliamriwa walipe gharama za kesi hii kama wameshinda kesi? Gharama inalipwaga na alieshinda ama alieshindwa?Ushindi ungekuwa Kwa kina MwanaFA iwapo tu kesi ingetupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa ila kitendo cha kusema kesi irudi Mahakama Kuu na kuanza kusikilizwa upya haiwezi kuwa ushindi kwao hata kama hawakuambiwa warudishe pesa.
Hivi nyie ushindi wa mahakamani mnauchukuliaje?
Walilipwa. Walikazaga hukumu akaunti za Tigo zikafungiwa na wakalipwa billion mbili na ushee...kipindi kile Tigo wanaenda mahakama ya juu baada ya Ile hukumu ya 2b+ Albert haraka sana alikaza hukumuWarudishe fedha gani wakati hawajalipwa chochote .
Tigo waliikataa hukumu hawakuwalipa wakaenda kukata rufani mahakama ya rufaa
TIGO kuambiwa walipe gharama hakuwapi moja kwa moja kina MwanaFA ushindi. Inawezekana waandishi na waliosambaza hizi taarifa waliegemea hapo. Kitendo cha TIGO kupewa nafasi ya kusikilizwa zaidi Kwa kesi kurudishwa Mahakama Kuu kunaondoa huo "ushindi" kwa upande wa wadai.Sasa kwanini Tigo waliamriwa walipe gharama za kesi hii kama wameshinda kesi? Gharama inalipwaga na alieshinda ama alieshindwa?
Mimi ninavyojua, katika mazingira kama haya ya kupokea maudhui na kuyatumia au kuyasambaza, kama kuna wakala anayehusika kupokea hizo kazi Kwa niaba ya mtu wa mwisho, huyo wakala ndiyo huwa anabeba majukumu yote ya kuhakikisha masuala ya hatimiliki yapo sawa. Msambazaji wa mwisho huwa anajilinda hivyo.Ifike mahali sheria iwe objective. Yani kesi inaenda kusikilizwa halafu kunatokea majibu tofauti na mawazo tofauti kuhusiana na jambo moja lililo bayana. Kama kweli wimbo wao ulitumika isivyo sahihi na wakadai fidia ya 4bil, na mahakama ikaona ni nyingi na ikapunguza hadi 2+bil shida iko wapi? Naomba wakati kesi inasikilizwa na ikifika ukingoni, tigo au wakala wake waamriwe kulipa hiyo hela iliyosalia