Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

Kuna mmoja huyo kila akija huwa anaanzisha msako kunitafuta anakutana na mimi mwenyewe mafia anaishia kuondoka patupu na namkwepa sababu najua hna nia nzuri
 
Wengine generation karibia tatu nyuma zilikuwa hapa Dar, kila ndugu yupo hapa hapa. Mnaishia kugumiana humu mjini tu.
 
Mi hata nawajua basi? Kwenye maisha yangu sijawahi kukaa sehem yoyote zaidi ya miaka 5 nimeahamahama kwanzia mdogo hadi leo watu kibao sina mazoea nao
 
Mimi hata nikionana nao nakua tu bado ni mgeni kwao kwa sababu nilipoishi nao niliweka mipaka na misimamo mikali dhidi yao.
 
Binadamu by nature anataka watu waone kile kizuri alicho nacho ndio maana mwanamke ambaye ana mguu wa bia atavaa sketi fupi au kaptura ili watu waone kile kizuri alicho nacho na ukiona mwanamke anavaa sketi ndefu au Suruali siku zote, ujue huyo miguu yake ni fito au haileweki.Hata katika maisha mwenye mafanikio atataka watu wamtembelee wamuone wamtambue ila ukiona mtu hataki watu wamtembelee au waone anapoishi jua huyo ni chokaa .
 
Unakaaje na watu wakijijin yaan wanaishi na kenge
 
Back
Top Bottom