GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot_2025-06-12-13-44-12-1.png
 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT
Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT
Ina maana mleta mada kweli kabisa hujui kwanini watanzania wengi wenye akili timamu wamegoma kushiriki uchaguzi mwaka huu?
Unatupima au unatusanifu?

Anyway, kwa niaba ta watanzania wengine (wenye akili timamu) nitakujibu hapa hapa.

Sababu kuu ni moja tu, kwa mazingira yaliyopo sasa (ambayo ndio mazingira hayo hayo yalikuwepo 2019, 2020 na 2024), mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna ujinga, upuuzi na upumbavu uliopangwa kufanyika Oktoba, hivyo kwa dhati kabisa sisi tumegoma kuwa sehemu ya wajinga, wapuuzi na wapumbavu. HATUTASHIRIKI UCHAGUZI.
 
Kwa bahati nzuri sana meseji ya NO REFORMS NO ELECTION imefika hadi vijijini na wanajua haki zao,nilitaka kujua tu na kuona maoni ya wana jamii kuhusu uchaguzi.

JE TUKIINGIA KWENYE MEZA YA REFORMS ITAWEZEKANA KWELI KWA KIPINDI HIKI CHA MIEZI 3 ILIYOBAKI???
 
Watu wasiojulikana hawa wanacount ha ha natania.ila mkirekebisha hizo reform uchaguz hata mwez huu wa saba ufanyike tu
 
Back
Top Bottom