GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwasababu kuna vibaka,wahuni, majangili in a well dressed clothes wanauiba uchaguzi kwa gharama ya damu kwa watu wasio na hatia ingali yenyewe ikija na kujisifia kua ni mzee ya kazi chafu. Pathetic!!! mihuni,michafu,miduanzi,mauaji. pumbavu zao.
 
Jisemee wewe aroh!

Kingine, acha kujitia moyo kwa maneno ya wajinga walioaminishwa eti bila ccm hakuna Amani

Wenye akili timamu wote, wasomi na waelewa, hawaezi kwenda kupoteza muda wa kupiga kura ilihali wakijua mshindi ni yule asiyepigiwa kura?? Yaani ccm..?
Nimekuelewa vyema ndg mtoa maoni, umenena sahihi
 
Kwasababu kuna vibaka,wahuni, majangili in a well dressed clothes wanauiba uchaguzi kwa gharama ya damu kwa watu wasio na hatia ingali yenyewe ikija na kujisifia kua ni mzee ya kazi chafu. Pathetic!!! mihuni,michafu,miduanzi,mauaji. pumbavu zao.
Hapa wakiamua wanazima vyama vyote kwa msajiri wanabakia wao tu yaani ni humu tu wabunge 380 mpinzani Esta bulaya 1 ni kujipigia tu🤣
 
Hata reform zikifanyika I will never vote kwakuwa sion MTU anayeweza kuleta positive changes
Kuna tatizo kwa wananchi wenyewe pia wanachagua vyama na sio kumchagua mgombea sahihi, wanachoangalia kwa mgombea ni chama anachogombea ndio maana hata huko ccm watu watalazimika tu kumchagua Samia hata kama hawamkubali ila kwa sababu ya chama, ni sawa na tulivyoona wanachama wa Chadema kumchagua Lowassa kisa ndio yupo chadema.
 
Huu ni ukweli mchungu
 
True na Chadema walikosesha nafasi wao wenyewe ya kuingia ikulu
 
Kwa mara ya kwanza maishan mwangu kupiga kura ni 2015 nikamchagua LOWASA (Marehemu), nilistaajabu baadae aliporudi kwenye Chama chake cha awali.🚮

Kuanzia pale nilijisemea "Wanasiasa wote ni matapeli tuu" na nikajiapiza sitawahi kupiga tena kura.

Hata kabla hamjaanza hizi NRNE mimi tayari nilikuwa na sheria zangu.
 
Interest zilimponza kwakuwa the guy is businessman

He can't take high risk
Nilisikia kwa MMM kuwa waliahidiana donge nono ikiwa mzee mvi atashika kijiti sababu wote ni ukanda ule ule.....interest ziliwatafuna
 
Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Labda machawa ndo mtapiga kura.
 
Kwa mara ya kwanza maishan mwangu kupiga kura ni 2015 nikamchagua LOWASA (Marehemu), nilistaajabu baadae aliporudi kwenye Chama chake cha awali.🚮

Kuanzia pale nilijisemea "Wanasiasa wote ni matapeli tuu" na nikajiapiza sitawahi kupiga tena kura.

Hata kabla hamjaanza hizi NRNE mimi tayari nilikuwa na sheria zangu.
Mzee wangu mara ya mwisho ilikuwa 1995 baada ya hapo hata kusikia kampeni hataki na akikusikia unakimbiakimbia kwenye kushabikia siasa anabaki kukusikitikia.....wanaelewa sana
 
Mamvi alikuwa anajua hawezi kuwa Rais.

So alienda kule kimkakati , kwahiyo Chadema 2015 ili waingie ikulu ilibidi wayakate matokeo na kuingia barabarani ,

Ila as you maandamano yakitokea biashara zitasimama , watu watakufa n.k

Back
Top Bottom