GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nataka maelezo mazuri ya bandari ya bagamoyo, Dar es salaam na Madini monduli, Mwadui, Geita na Mbuga ya Serengeti
 
Mimi sitashiriki kwa sababu uhuni ni mwingi sana kwenye chaguzi ambazo msimamizi wa tume ya uchaguzi ni mteule wa Rais.

Nashauri Samia kama anatupe da watanganyika hizo pesa anazopanga kuzifanyia uchaguzi azielekeze kwenye maswala muhimu maana bila reforms yeye ni mshindi wa 100% ila ikiwa reforms zipo hawezi toboa
 
Yaani niache shughuli zangu nibebelee mavuzi nipange mstari kupiga kura what the hell! ,What the fck 😇😇😇. Kwa tume ipi ?
Mudo huo si bora nijifunze mapishi ya mwachiluwi kwa vitendo
 
Tokea tupigwe kwenye uchaguzi wa mitaa nilifurahi saana chama changu chadema kuja na tamko no reform no election tusichezeane tena kwenye mambo ya msingi
 
Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
FB_IMG_1752056296146.jpg
 
Walioshika mpini unawasikilizaga kauli zao kuhusu kushinda uchaguzi?, wanasema tupige tusipige, tumpigie yule au huyu haisaidii...hatutaruhusu ashinde kwavyovyote vile ....kauli kama hizi Toka kwa watu ambao wanalipwa mshahara wa Kodi zetu Hadi uhai wao utakapotamatika...unafikiri kuna haja ya kupanga foleni kujipotezea muda, si Bora kulala usingizi mchana ili kuupa mwili nafasi ya kupumzika tu😂
 
Tume ni CCM rejea mahera kachukua fomu ya kugombea na mshati wake wa kijani kibichi..!!
 
Sasa kwann tupoteze muda kwa jambo ambalo majibu yake yanajulikana? Waoccm wajitangaze washindi, waunde serikali baasi.
Ni sawa na kufanya ibada upate ushindi kwenye mechi recorded.
 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT


K'osa kuubwa saba ,la sisa za wapinzani ni kukurupuka . kukosa elimu ya sayansi ya siasa na ubonafsi.
Lakini pia kuna Wapumbavu kama Zito Kabwe warabu wa Kigoma wafia mila na dini za Waarabu . Jinga kabisa .

Muda wote tangu 2019 wanatumia muda mwingi kusema habari za wizi wa kura bila kuhamasisha kujiandikisha kwa wingi.
Yaani wangetakiwa wawaha,asishe vijana wote waandikishwe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.

Leo kuna mapumbavu yamejaa kwemye mitandao na Nyoo liform Nyoo erection wakati hawakujiandikisha . CCM hata wakipata kura laki mbili watampata Rahis kwa sababu yule Mzanzibari kutoka Oman hayupo kumnufaisha Mtanganyika milele. Kama hajali roho za watanganyika kamwe hawezi kuja;i rasilimali za tanganyika . Yaani mtu anayewaona vijana wa kitanganyika kama maji taka halafu utegemee kuwa anaweza hata kuuliza mbona mnawaobia wananchi pesa zao.

Ooh amejenga shule sijui reli sijui jengo la CCM sijui kitu gani ! Mlitwgemea wataiba pesa kwa kuvunja benki ? Pesa za umma zinaibiwa kwa mkupuo kwenye miradi ya ujenzi isiyo na tija . Watu wanaamka asubuhi wanajenga jengo la kuonyesha mazingaumbwe kwa bil. 80 . linajengwa jengo lenye thamani ya bil. 30 . Watu wanapiga bil.50.

Wsnasema tunakaranati uwanja wa mpira kwa bil. 70 halafu zonatumika bil 10 . zinapigwa bil 60.
Wanajenga jengo la hospitali gharama mezani ni bil 500 halafu linajengwa jengo la hovyo mita mbili kwenda juu na milango ya mabox na mabati ,gharama halisi bil 170 . Watu wanapiga wanagawana kwenda kujenga misikiti na makanisa ili watukuzwe na kuitwa chaguo ka Mungu huku watoto wa maskini wakiwa hawana ajira wakati watoto wao na vitukuu ambavyo havijazaliwa wakiwa wamelimbikiziwa mali kila sehemu huko duniani . Rushwa na mabango nchi nzima mitano tena. Doto biteko leo anaonekana mzalendo kuliko Kassim Majaliwa na Job Ndugai na Mpuna na Kabudi na Polepole na Gwajima na Bashiru kwa sababu ya Rushwa .Pesa ni sabuni ya roho . Biteko na Kagame bora Kagame aje atutawale tujue moja kuwa Tanzania hatuwezi kujitawala tena na hatuna mtu wa kutuongoza wala kulinda rasilimali zetu na miradi yetu tunategemea wageni kuanzia Rais na Kaimu Waziri Mkuu ,Makamu na kila mtu . JWTZ ndio maana walikataa kuchaguliwa vijana wa kuingia jeshini kupitia kwa vimemo vya wakubwa wa serikali na makada wa chama cha Mapinduzi maana wao wanachojali ni maslahi yao ya kisiasa kubaki madarakani . Eti zito naye aliwahi kwenda Depo .

Leo hii hawa vijana waliokua wanajaza form za kupinga uchaguzi wangekua wamejiandikisha na kufikia mil 30 CCM ingengoka mdarakani kwa kura na nguvu ya umma .
Nguvu ya umma sio ususia uchaguzi . Nguvu ya umma kwenye demokrasia ni kuchagua kwa kishindo kikubwa . Kenya Vijana wanatamba maana ndio wsliomchagua Ruto na pia Raila . Ujinga wa Ruto kuchezea matokeo ndio unaomponza . Bora angekubali kushindwa na Raila ili ajipange awamu ijayo.

Chadema walikosea sana kupingana wenyewe kwa wenyewe kwenye harakati za kuzuia uchaguzi.
Walitakiwa wakae kikao kwa siku hata tatu wajadili kwa kina sana .

Afrika kila kitu kinapatikana kibabe . Hata utajiri ni ama kibabe au kisanii . Sasa kwa jinsi tanzania na dola ilivyojipanga haiwezekani kuzuia uchaguzi. Tanzania kuna Wazanzibari ambao ni watu katili sana kwenye habari ya madaraka na mali . Salmini Amouru alimdindia mpaka Nyerere tena akiwa amebebwa na Nyerere lakin baada ya kuapishwa aligeuka na kuwa mnyama mwitu.
Rais mpole alikua ni Aman Karuma kwa sababu hakudekezwa maana baba yake aliuawa siku nyingi hivyo hakuwa na mbuyu ndani ya CCM . Mwinyi alikua zaidi Tanganyika hivyo hana hulka ya Kizanzibar na ki Sultan .
Lakini kiujumla Wazanzibar hawana mchezo na madraka hasa linapokuja suala la usultani na uoman . Leoa tumeelewa ni kwa nini Walikua hawataki kabisa Wale wenye asili ya Oman washike urais wa Zanzibar kama Maalim Seif. Usultan na udini ni mkubwa sana na tamaa za mali iko juu sana kwa waoman wenye uzanzibari.

Uchaguzi ni muhimu sana cha msingi sasa ni wapinzani kuandamana na kudai haki ya kuandikishwa na kupinga nafasi ya mwrnyekiti wa tume na yule mjumbe Mapuri . Hao waondolewe kwa nguvu .
Lakini kwa sasa kila chama kimefanya kazi kubwa . Hivyo chadema wakirudi uchaguzi utakua ni mkali sana na kila chama kitakua makini na kura zake.
Kuua wanachama wenu kwa kuzuia uchaguzi ni ukichaa lakini kuzuia wizi wa kura ni ushujaa.

Zuia wizi wa kura lakini pia choma moto mwizi wa kura . Bora ufungwe kwa kumchoma moto kibaka kuliko kunyongwa kwa uhaini .
Ili Kuwajambisha CCM ni lazima pawe na mziki mzito wa uchaguzi .
CCM na Wasira watapumulia mashine kabla ya kuisha uchaguzi maana mziki utakua mkubwa sana lakini wakipita kilaini Wasira atakuwa Kijana .

Maandamano ya kupinga tume na kupendekeza uchaguzi usimiwe na Watu kutoka Kwenye Taasisi za dini ,chama cha mawakili , na majaji wa mahakama zote .
Mwenyekiti wa tume asome matokeo akiwa na wajumbe wasiopungua saba wakiwemo hao wa taasisi za duni walioapa kuifia kweli na nchi ya Tanzania .




 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT
Dawa ya kulinda kura dhidi ya wezi ni kubaki nayo tu.
 
Back
Top Bottom