Itafiti wako unania ya kulijenga taifa letu ama kuzidi kulibomoa?Je nia ya utafiti ni njema au kuzidisha unyanyasaji,utekaji,kuongeza watakaopotea bila maelezo au nia njema ya kuelewa malalamiko ya wapiga kura?Binafsi nimeapa kuliko kupoteza muda kwenda kuonyesha ujinga kwenye mabox ya wizi wa kura sitafanya tena.Haina maana wala msaada iwe kwangu ama kwa mtanzania yeyote.Hata iwapo yakafanyika yale marekebisho ya uongo kama ambavyo imekuwa kawaida,bado imani yangu imekufa juu ya hili.Na marekebisho ni sharti yawe ni ya kudhamiria kweli tena baada ya kutambua shida yetu kama taifa iko wapi.