GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wajinga hao ccm. Wajichague wenyewe kwani si mshindi anajulikana?
Hakuna kitu kimewauma ccm na vibaraka wake baada ya cdm kugoma kusaini kanuni za kuhalalisha uchaguzi wa kuhuni. Inafahamika uamuzi huu wa cdm utashusha sana idadi ya wapiga kura, na itaipa nchi sura mbaya ya kidemokrasia kimataifa. Wanajua fika kitendo hicho kinaianika Tanzania kama nchi yenye utawala wa kihuni kama nyingine nyingi.
 
Mimi pamoja nitampigia kura Samia ila kura yangu haina maana yoyote hata nisipopiga
 
1. Kura yangu ya kumchagua Rais wangu haitahojiwa na mamlaka yoyote nchini.
2. Tume ya uchaguzi inayoitwa Huru haitashitakiwa popote Tanzania hata kama itafanya mambo kinyume na Katiba, Sheria na Kanuni za uchaguzi.
3. Namna ya upatikanaji wa hao viongozi wa Tume kuanzia Taifa hadi wasimaizi wa vituo inaleta ukakasi, wengi wameshakuwa makada wa chama X, Je hawawezi kuegemea upande huo wakati wanatimiza majukumu yao? ( Ushahidi upo)
4. Wakuu wa Wilaya na Mikoa ( Dola) kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipatiwa maelekezo kuhakikisha chama X kinashinda. Ushahidi upo.

Sioni umuhimu wa kupiga kura sababu bila reforms matokeo ya uchaguzi wa October yapo wazi kabisa labda mjinga tu ndiyo anaweza atabisha..
 
Hakuna kitu kimewauma ccm na vibaraka wake baada ya cdm kugoma kusaini kanuni za kuhalalisha uchaguzi wa kuhuni. Inafahamika uamuzi huu wa cdm utashusha sana idadi ya wapiga kura, na itaipa nchi sura mbaya ya kidemokrasia kimataifa. Wanajua fika kitendo hicho kinaianika Tanzania kama nchi yenye utawala wa kihuni kama nyingine nyingi.
CDM wamefikisha ujumbe kila kina wa NRNE hadi vijijini bila kelele wala yowe...
 
Raisi anajulikana, kishasema tayari atateua watu flani.....
Shamba la bwana heri ngombe wa bwana heri hata wakila mazao hakuna
1. Kura yangu ya kumchagua Rais wangu haitahojiwa na mamlaka yoyote nchini.
2. Tume ya uchaguzi inayoitwa Huru haitashitakiwa popote Tanzania hata kama itafanya mambo kinyume na Katiba, Sheria na Kanuni za uchaguzi.
3. Namna ya upatikanaji wa hao viongozi wa Tume kuanzia Taifa hadi wasimaizi wa vituo inaleta ukakasi, wengi wameshakuwa makada wa chama X, Je hawawezi kuegemea upande huo wakati wanatimiza majukumu yao? ( Ushahidi upo)
4. Wakuu wa Wilaya na Mikoa ( Dola) kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipatiwa maelekezo kuhakikisha chama X kinashinda. Ushahidi upo.

Sioni umuhimu wa kupiga kura sababu bila reforms matokeo ya uchaguzi wa October yapo wazi kabisa labda mjinga tu ndiyo anaweza atabisha..
Shamba la bwana heri mifugo ya bwana heri
 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT
Screenshot_20250601-070306.jpg
 
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?

Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....

NASOMA COMMENT
viongozi wangu wako chadema na chadema wamegomea uchaguzi so sina lakufanya hapo au wewe unasemaje au unanishauri nini?
 
Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Labda mfanye uteuzi ila kwa tulipofika sioni hiyo dalili ya uchafuzi.
 
Back
Top Bottom