Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaidaVijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
Kabisa...Tatizo hata kutoa maoni inaweza kuhesabika unafanya uhaini.
Tuache ifanyike tuendelee na maisha mengine.
Uchaguzi wa Tanzania ni wa kushiriki tu na siyo kchagua tuwapendao.Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
View attachment 3399586Hakika bila reforms tumekula chuma
Ina maana mleta mada kweli kabisa hujui kwanini watanzania wengi wenye akili timamu wamegoma kushiriki uchaguzi mwaka huu?Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
Au tuamue kubaki na kura zetu ndani?Uchaguzi wa Tanzania ni wa kushiriki tu na siyo kchagua tuwapendao.
Kwa bahati nzuri sana meseji ya NO REFORMS NO ELECTION imefika hadi vijijini na wanajua haki zao,nilitaka kujua tu na kuona maoni ya wana jamii kuhusu uchaguzi.Ina maana mleta mada kweli kabisa hujui kwanini watanzania wengi wenye akili timamu wamegoma kushiriki uchaguzi mwaka huu?
Unatupima au unatusanifu?
Anyway, kwa niaba ta watanzania wengine (wenye akili timamu) nitakujibu hapa hapa.
Sababu kuu ni moja tu, kwa mazingira yaliyopo sasa (ambayo ndio mazingira hayo hayo yalikuwepo 2019, 2020 na 2024), mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna ujinga, upuuzi na upumbavu uliopangwa kufanyika Oktoba, hivyo kwa dhati kabisa sisi tumegoma kuwa sehemu ya wajinga, wapuuzi na wapumbavu. HATUTASHIRIKI UCHAGUZI.
Yeap ni salamaUna uhakika tutakuwa salama hapa!?
Maoni yako, soma tenaAcha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Wasiojulikana wapo posta huko mkuu....ni salamaWatu wasiojulikana hawa wanacount ga hq natania
Sasa kwa Nini mnahangaika nao!?? Si mkapigiane majizi..Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Ujinga ni kuwa mshindi anajulikana ila wanaweka zengwe tu kupoteza maboya 🤣🤣Reforms tayari ? Kama sio tayari unaenda kushiriki ili iweje ? Mshindi anajulikana, atatangazwa, huna uwezo wa kwenda koti kupinga matokeo ! What the hell
Kwani watatufata majumbani kutulazimisha tukatiki 😲Watu wasiojulikana hawa wanacount ga hq natania
Watapita tu kwani huwajui wajimba wa rangi za nyasi?Kwani watatufata majumbani kutulazimisha tukatiki 😲