Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hata hivyo huelewi? Polepole itakuwa taratibu binti kidogokidogo.Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
π€£π€£π€£ kmmk binti tena mkuu....nimecheka sana dahHata hivyo huelewi? Polepole itakuwa taratibu binti kidogokidogo.
Hapo sasa wanatutafuta ya rohoni!Watapita tu kwani huwajui wajimba wa rangi za nyasi?
Tena ninyi wanawake ndio kabisaa wanakuja na madera ya mama π€£Hapo sasa wanatutafuta ya rohoni!
Hapo unapiga zako usingizi tu siku ya uchaguziHata reform zikifanyika I will never vote kwakuwa sion MTU anayeweza kuleta positive changes
Hapo unapiga zako usingizi tu siku ya uchaguzi
Bongo bahati mbaya tuHapana Ila kuna upuuz mwingi Sana bongo
TrulyBongo bahati mbaya tu
Ndio maana wabongo wengi wakisepa ulaya kuwarudisha bongo heri uwaue na wakirudi Bongo ni maiti au kashindwa mambeleTruly
Hakika MkuuNdio maana wabongo wengi wakisepa ulaya kuwarudisha bongo heri uwaue na wakirudi Bongo ni maiti au kashindwa mambele
Kadi yenyewe nilipoteza soon baada ya kupata π€£Nimeamua kubaki na kura yangu nyumbani
No Reforms No Election
πππππKadi yenyewe nilipoteza soon baada ya kupata π€£
Utafiti wako unania ya kulijenga taifa letu ama kuzidi kulibomoa?Je nia ya utafiti ni njema au kuzidisha unyanyasaji,utekaji,kuongeza watakaopotea bila maelezo au nia njema ya kuelewa malalamiko ya wapiga kura?Binafsi nimeapa kuliko kupoteza muda kwenda kuonyesha ujinga kwenye mabox ya wizi wa kura sitafanya tena.Haina maana wala msaada iwe kwangu ama kwa mtanzania yeyote.Hata iwapo yakafanyika yale marekebisho ya uongo kama ambavyo imekuwa kawaida,bado imani yangu imekufa juu ya hili.Na marekebisho ni sharti yawe ni ya kudhamiria kweli tena baada ya kutambua shida yetu kama taifa iko wapi.Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
Jisemee wewe aroh!Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Dah umemnena vyema sana kaka....huu ujumbe nimeusoma kwa sauti kuuItafiti wako unania ya kulijenga taifa letu ama kuzidi kulibomoa?Je nia ya utafiti ni njema au kuzidisha unyanyasaji,utekaji,kuongeza watakaopotea bila maelezo au nia njema ya kuelewa malalamiko ya wapiga kura?Binafsi nimeapa kuliko kupoteza muda kwenda kuonyesha ujinga kwenye mabox ya wizi wa kura sitafanya tena.Haina maana wala msaada iwe kwangu ama kwa mtanzania yeyote.Hata iwapo yakafanyika yale marekebisho ya uongo kama ambavyo imekuwa kawaida,bado imani yangu imekufa juu ya hili.Na marekebisho ni sharti yawe ni ya kudhamiria kweli tena baada ya kutambua shida yetu kama taifa iko wapi.
Nashindwa kuelewa kama taifa wapi tunaenda....uchaguzi ukiwa huru na haki inaleta hata hamasa watu kujitoa kwa dhati kulitetea taifa lao.Shida ni mfumo wetu wa uchaguzi kutotoa mwanya kwa wananchi kumchagua wamtakae bali wenyenchi kumpa yeyote wanayemtaka. Hivyo kitendo cha kwenda kupanga foleni muda mwingi huku ukijua chochote unachoamua kama hakitokuwa kwa mapenzi ya wenye nchi hakitokuwa ni sawa na kupoteza muda