4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Reforms zije alafu uone kipenga kikipulizwa , mimi nitakua wa kwanza kwenda kwenye jimbo la Mama salma kikweteKwa bahati nzuri sana meseji ya NO REFORMS NO ELECTION imefika hadi vijijini na wanajua haki zao,nilitaka kujua tu na kuona maoni ya wana jamii kuhusu uchaguzi.
JE TUKIINGIA KWENYE MEZA YA REFORMS ITAWEZEKANA KWELI KWA KIPINDI HIKI CHA MIEZI 3 ILIYOBAKI???
Tatizo hata kutoa maoni inaweza kuhesabika unafanya uhaini.
Tuache ufanyike tuendelee na maisha mengine.
Walioshika mpini unawasikilizaga kauli zao kuhusu kushinda uchaguzi?, wanasema tupige tusipige, tumpigie yule au huyu haisaidii...hatutaruhusu ashinde kwavyovyote vile ....kauli kama hizi Toka kwa watu ambao wanalipwa mshahara wa Kodi zetu Hadi uhai wao utakapotamatika...unafikiri kuna haja ya kupanga foleni kujipotezea muda, si Bora kulala usingizi mchana ili kuupa mwili nafasi ya kupumzika tu😂
Acheni Makasiriko Kura ni siri ya Mtu na Uchaguzi ni mchakato hivyo basi... Msipotoshe watu maana hata wapinzani huweka Mawakala wao Mkishindwa muwe mnakubari.Ccm wataiiba
Ccm wanatabia ya kutaka wapigabkura wawe wengi ili waibe kirahisi na kuweka kura fake. Sidanganyiki
Tunaomba utueleze mchakato wa mawakala kwenye uchaguzi upoje?Acheni Makasiriko Kura ni siri ya Mtu na Uchaguzi ni mchakato hivyo basi... Msipotoshe watu maana hata wapinzani huweka Mawakala wao Mkishindwa muwe mnakubari.
Wale mawakala ambao huwa mnawapiga, mnawatoa nje ya vituo na wakati mwingine mnawanyima vitambulisho🤣🤣🤣Acheni Makasiriko Kura ni siri ya Mtu na Uchaguzi ni mchakato hivyo basi... Msipotoshe watu maana hata wapinzani huweka Mawakala wao Mkishindwa muwe mnakubari.
Poleni sioni kama una hoja hayo mengine unaongea bila hata wewe mwenyewe kujua waongea nini? Pia acha kupotosha watu wasipige kura... Mtu kupiga kura ni haki yake na Msingi na OKTOBA TUNATIKIWale mawakala ambao huwa mnawapiga, mnawatoa nje ya vituo na wakati mwingine mnawanyima vitambulisho🤣🤣🤣
Wacha ni baki na kura yangu tu.
Kwa wasimamizi ni wale waliokuwa wagombea wa ccm miaka ya nyuma
Kama kupiga kura ni haki. Hata kutokupiga ni haki. Kama wewe unapiga nenda ila usilazimishe wasiotaka nao wakapigePoleni sioni kama una hoja hayo mengine unaongea bila hata wewe mwenyewe kujua waongea nini? Pia acha kupotosha watu wasipige kura... Mtu kupiga kura ni haki yake na Msingi na OKTOBA TUNATIKI
Mtu hana mpinzani halafu unapanga msururu kwenda kutiki..😅Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Mgombea yule ambaye ni mteua tume aliwahi kusema "kura wapeni upande ule lakini sisi ndio tutakaounda serikali".Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu?
Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko....
NASOMA COMMENT
KwishaaaaMgombea yule ambaye ni mteua tume aliwahi kusema "kura wapeni upande ule lakini sisi ndio tutakaounda serikali".