Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hiyo kwako ndio justification bandari yetu kutolewa sadaka kwa wajomba?Mbona ikulu imekamilishwa,bwawa la Nyerere je? Vitu walivyovipanga pamoja ilikuwa Lazima wavitimize la sivyo wananchi tungekasirika
Nimemaanisha hili lisishangaze pia....walishapanga siye tubishie niniHiyo kwako ndio justification bandari yetu kutolewa sadaka kwa wajomba?
Kitambo kipi wakati bandari imetolewa kwa wajomba, zile safari za arabuni baada ya msaliti kuingia madarakani hukuwahi kuziona?Mbona wamesema ni suala la kitambo...hatukushirikishwa tu.Serikali ya TZ haijawahi mwona mtanzania kama ni Binadamu wa kushirikishwa jambo
😭Mkuu,mambo ni mengi muda mchacheKitambo kipi wakati bandari imetolewa kwa wajomba, zile safari za arabuni baada ya dhaifu kuingia madarakani hukuwahi kuziona?
Anhaaa….kama ni suala la kitambo basi inawezekana kabisa Ngosha alilikataa na baada ya yeye kufariki, hao waliobaki wakaona ndo muda muafaka wa kulirejea tena!Mbona wamesema ni suala la kitambo...hatukushirikishwa tu.Serikali ya TZ haijawahi mwona mtanzania kama ni Binadamu wa kushirikishwa jambo
Yeah,Kuna uwezekano piaAnhaaa….kama ni suala la kitambo basi inawezekana kabisa Ngosha alilikataa na baada ya yeye kufariki, hao waliobaki wakaona ndo muda muafaka wa kulirejea tena!
Maswali yanazidi kuongezeka tu!
Ngosha na wewe ni wale wale Wajamaa ambao ni wajinga na watu wa.hovyo and so Wala asingesaini..Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Toka hapa na hizo faida zako za kutungwa.Ngosha na wewe ni wale wale Wajamaa ambao ni wajinga na watu wa.hovyo and so Wala asingesaini..
Mtu ambae anasema anataka matajiri waishi kama mashetani au watu waendee kuwa maskini ndio awatawale anaweza saizi mkataba wa kuleta Neema Kwa Nchi?
Hizi hapa ni faida za mkataba,haya na nyie Wajamaa tuelezeeni hasara zake Kwa hoja sio Kwa hisia na propaganda..
Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.Ngosha na wewe ni wale wale Wajamaa ambao ni wajinga na watu wa.hovyo and so Wala asingesaini..
Mtu ambae anasema anataka matajiri waishi kama mashetani au watu waendee kuwa maskini ndio awatawale anaweza saizi mkataba wa kuleta Neema Kwa Nchi?
Hizi hapa ni faida za mkataba,haya na nyie Wajamaa tuelezeeni hasara zake Kwa hoja sio Kwa hisia na propaganda..
Jibu hoja wewe mjinga,hizo ni faidia za kwenye mkataba Sasa tuonyeshe na wewe na hasara la sivyo unaingia kwenye kapu lile lile nalosema siku zote kwamba Wajamaa ni watu wa hovyo sana nyie..Toka hapa na hizo faida zako za kutungwa.
Hakuna lolote.
Wasafwa mliiuza Mbeya kwa Wanyakyusa 😂😂Ngosha na wewe ni wale wale Wajamaa ambao ni wajinga na watu wa.hovyo and so Wala asingesaini..
Mtu ambae anasema anataka matajiri waishi kama mashetani au watu waendee kuwa maskini ndio awatawale anaweza saizi mkataba wa kuleta Neema Kwa Nchi?
Hizi hapa ni faida za mkataba,haya na nyie Wajamaa tuelezeeni hasara zake Kwa hoja sio Kwa hisia na propaganda..
Chuga man vp upo mzee?Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.
Hakuna faida yoyote tutakayopata itakayozidi ile atakayopata mwarabu, kwasababu msaliti ameitoa bandari yetu kwao milele.
Pumbavu sana ,faida hizi zitakazopatikana hapa ni mara 100 zaidi ya upuuzi mnafanya hapo bandarini..Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.
Hakuna faida yoyote tutakayopata itakayozidi ile atakayopata mwarabu, kwasababu msaliti ameitoa bandari yetu kwao milele.