lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,145
Nani unafikiri anaweza kuindesha kwa faida? Kagame?
Sisi ni watu wa kulaumu tu hata kama tunaujua ukweli kuwa hatuwezi kuiendesha hii bandari, hayati Magu alijitahidi lakini wapi, tunaishia kutumbua watu tu kila kukicha. Kama una suluhisho lilete kama hoja na si kuleta maneno yasiyo na staha kwa viongozi.
Kama akina Nyerere wangekuwa na akili kama zako hadi leo tungekuwa tunatawaliwa. Hebu nikuulize, Kagame ameingia vipi hapa?
Kama wewe unaamini kati ya watanzania zaidi ya 60 million hakuna watu wanaoweza ķuendesha bandari kwa ufanisi, basi wewe ni mtumwa.
Tumefika huku kwasababu ya ujinga wa kuteuana na kupeana peana vyeo kwa kujuana katika nafasi zinazohitaji watu wenye maarifa ya kutenda na kuleta matokeo.