Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Tumuache Mzee apumzike kwa amani. Yaliyobaki hapa duniani ni yetu sisi na ni jukumu letu ku deal na mambo yanayo tukabili.
 
Kinachofanyika Sasa ni utekelezwaji wa Yale yanayokubalika Kwa mujibu wa MoU, yaani maandalizi ya Kuelekea kwenye specific projects agreements..

Kwa hiyo Bandari pale Kuna DP World si ndio? Acha kuhemka wewe na kukurupuka..

Ujue nyie watu mnashangaza sana ila Samia Huwa ni Mwanamke wa shoka nadhani mnakumbuka vizuri uamzi wa chanjo ya Uviko 19 na Issue ya kuokoa Ngorongoro.
Iumesahau kuweka namba ya simu.
 
Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Kuna mtu nilikuwa naongea naye, nikasema kwa utani tu, kwamba, wabongo wape picha, maneno watamalizia wenyewe, nikamwambia hawakawii kusema bwana yule kauawa makusudi ili watu wauze bandari.

Akairukia hiyo narrative na kuniambia "Wewe hufikiri kuwa hicho ndicho kilichotokea?".

Nikachoka hapo hapo.
 
Ngosha atakuwa aliwatimua na hilo karatasi lao la kufungia vitumbua.
 
Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Hivi hawa Wazanzibar wana haraka gani na sisi? Mbona sis Watanganyika tunaridhika na bandari kuchangia 37%?
 
Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Ngosha siyo Mungu wa Tanzania, hata asingekufa angemaliza muda wake Rais mwingine akaendelea na mipango yake yeye akiwa hai bila kufanya lolote. Nyie mazuzu wa mwendazake kila linalofanywa na serikali ni "angekuwepo Magu" Magu ni nani nchi hii alikuwa wa kupita tu na maisha yakaendelea. Baba wa Taifa alikaa miaka 24 na akaacha ofisi za watu akiwa hai sembuse mtu mdogo tu km Magu?
 
Hawa Wazanzibari wamekuwa sawa na wale watu wanaotuambiaga tununua magari ya kutembelea wakati sisi tunaridhika kutembea kwa miguu.
 
Alishakataa kuingia mikataba ya kijinga. Alikuwa mzalendo hasa.
alikuwa tapeli wa kuwapofusha mazuzu km wewe. Alikuwa fisadi wa nguvu aliyejificha ktkt koti la uzalendo. Alikuwa mpotoshaji hasa, sasa majinga yakamwamini.
 
Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Asiyekuwepo na lake halipo.
 
Umesema vyema kwenye utangulizi. Kujishungulisha na siasa za Tz ni kupoteza muda. NO impacts. Bora huu muda nijihusishe na mapenzi
 
Upo kwa Samia na genge lake.
Upo huru kusema utakacho, lakini nini maslahi yako katika kupinga mradi huu?
Je ni kweli bandari haina uhitaji wa kuboreshwa?
Je bandari ikiboreshwa kama nchi hatutafaidika?
Je Tanzania tunaweza kuiboresha sisi wenyewe?
Je unaye muwekezaji mwenye masharti ambayo yana afadhali kuliko haya?
Hivi leo raisi Samia anaonekana anataka kweli kuidhuru nchi kwa mkataba huu tu?
Hii bandari watu wamekula kwelikweli na hawatosheki na kuna baadhi ambao maslahi yao yataguswa ndiyo hao wanaochochea kuupinga huu mradi, sasa sijui wewe ni mmoja wao ambao maslahi yenu au ya jamaa na rafiki zenu ambao yataguswa ndiyo mnapinga tena si kwa hoja bali kumdhihaki kiongozi wa nchi na kebehi.
Hebu tuwe na dhana njema kwa viongozi wetu.
 
Kwahiyo kama hii bandari watu wamekula sana, yeye kama rais ameshindwa kuzuia hao walaji? Kama ameshinďwa anafanya nini hapo juu? Suluhisho la kushindwa ndio kufanya anachotaka kufanya?

Watanzania mmelemaa kiakili, ndio maana majirani zetu wanatudharau sana, nchi yenye watu zaidi ya 60 million mmeshindwa kuendesha bandari zenu kwa mafanikio, mnawapa mali zenu wageni.

Mbona ndugu zetu mmekuwa wazito sana vichwani, mmelishwa nini?
​
 
Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti [emoji848]. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne [emoji1787].

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Mbona kuna mengi tu yamefanyika baada ya kifo chake.
Who is Ngosha zaidi ya kuwa Marehemu tu!?
Keshakufa tuachane nae
 
Ngosha siyo Mungu wa Tanzania, hata asingekufa angemaliza muda wake Rais mwingine akaendelea na mipango yake yeye akiwa hai bila kufanya lolote. Nyie mazuzu wa mwendazake kila linalofanywa na serikali ni "angekuwepo Magu" Magu ni nani nchi hii alikuwa wa kupita tu na maisha yakaendelea. Baba wa Taifa alikaa miaka 24 na akaacha ofisi za watu akiwa hai sembuse mtu mdogo tu km Magu?
Wanamuona km MunguMtu vile..
 
Kwahiyo kama hii bandari watu wamekula sana, yeye kama rais ameshindwa kuzuia hao walaji? Kama ameshinďwa anafanya nini hapo juu? Suluhisho la kushindwa ndio kufanya anachotaka kufanya?

Watanzania mmelemaa kiakili, ndio maana majirani zetu wanatudharau sana, nchi yenye watu zaidi ya 60 million mmeshindwa kuendesha bandari zenu kwa mafanikio, mnawapa mali zenu wageni.

Mbona ndugu zetu mmekuwa wazito sana vichwani, mmelishwa nini?
​
Nani unafikiri anaweza kuindesha kwa faida? Kagame?
Sisi ni watu wa kulaumu tu hata kama tunaujua ukweli kuwa hatuwezi kuiendesha hii bandari, hayati Magu alijitahidi lakini wapi, tunaishia kutumbua watu tu kila kukicha. Kama una suluhisho lilete kama hoja na si kuleta maneno yasiyo na staha kwa viongozi.
 
Back
Top Bottom