Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.

Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.

Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.

Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?

Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?

Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?

Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!

Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Umekwishasema "pamoja na mapungufu mengi aliyokuwa nayo", kwa sentensi hiyo asingesaini. Kwa vile alikuwa na mapungufu mengi
 
Serikali imesema baada ya makubaliano ya maeneo ya uwekezaji yatasemwa lini utaisha ,MoU sio mkataba..

Uliza swali jingine
Serikali imesema... ndio maana nakuita kenge!.

Sio mkataba wakati umeshaanza kutekelezwa!.

Huna akili, wewe umeona mwisho ni muda gani kwenye ule mkataba?
 
Mbona wamesema ni suala la kitambo...hatukushirikishwa tu.Serikali ya TZ haijawahi mwona mtanzania kama ni Binadamu wa kushirikishwa jambo

Wanaosema suala lilianza wakati mama kaenda Dubai ni uongo? Tumsikilize nani??
 
Usijifiche kwa kivuli cha kuangalia yale yanayotokea duniani, mimi nimekuona wewe ndani ya nafsi yako, are you there?

Ndio maana nikakuuliza nini hasa kimekukera mimi kumtaja mwarabu?!
Naona hata huelewi kinachojadiliwa hapa,kunywa maji,punguza mihemko kisha njoo tena hapa.
 
Jibu hoja wewe mjinga,hizo ni faidia za kwenye mkataba Sasa tuonyeshe na wewe na hasara la sivyo unaingia kwenye kapu lile lile nalosema siku zote kwamba Wajamaa ni watu wa hovyo sana nyie..

Kwa mfano mismanagement ya hiyo Bandari kwangu inanisaidia nini? Na mnaopinga hili bila shaka mligeuza Chaka lenu la upigaji kama wale wajinga wa awamu wa 5 waliokuwa wanaomba Uzalendo huku wanapiga pesa ,pumbavu zenu.

Wakati mkataba wa Gas ya Mtwara unapita walisemaje??, Je waliyoyasema kipindi kile yametekelezwa??. Na haya kwenye mkataba wa sasa unayaamini?. Una imani na CCM wanachosema?? Nikupe pole, hata kama Uchawa sometimes tuwe na akili.
 
Naona hata huelewi kinachojadiliwa hapa,kunywa maji,punguza mihemko kisha njoo tena hapa.
Huwezi kunielewa kwasababu una akili ndogo, inayoishia kuona yale ya ulimwenguni tu, huna akili, mimi nakuona mpaka kilichomo ndani ya nafsi yako unavyoteseka nikitaja mwarabu kupitia maandiko yako, go get your life!.
 
Wakati mkataba wa Gas ya Mtwara unapita walisemaje??, Je waliyoyasema kipindi kile yametekelezwa??. Na haya kwenye mkataba wa sasa unayaamini?. Una imani na CCM wanachosema?? Nikupe pole, hata kama Uchawa sometimes tuwe na akili.
Mkataba wa gas ya Mtwara walikuletea Ujadili Bungeni? By the way Mkataba wa gas ya Mtwara Hadi Sasa hauna shida au wewe kwako una shida gani?

Mabadiliko ya Uongozi na Itikadi za viongozi ndio yalifanya mradi wa Mtwara ukafa ila Sasa umefufuliwa na najua unafahamu kwamba Serikali iko.kwenye majadiliano na Wawekezaji wa LNG zaidi ya til.98.
 
Huwezi kunielewa kwasababu una akili ndogo, inayoishia kuona yale ya ulimwenguni tu, huna akili, mimi nakuona mpaka kilichomo ndani ya nafsi yako kupitia maandiko yako, go get your life.
Wewe unajifanya una akili wakati ni kopo tuu .

Unataka MoU itaje Ukomo una akili timamu? Umeambiwa mikataba ya utekelezwaji ikisainiwa mda wake utawekwa wazi Bado unaongea ujinga..

Hii ndio hasara Sasa ya utapiamlo.
 
That's why we are still in doubt how a boy from Chato died [emoji22]
 
Mkataba wa gas ya Mtwara walikuletea Ujadili Bungeni? By the way Mkataba wa gas ya Mtwara Hadi Sasa hauna shida au wewe kwako una shida gani?

Mabadiliko ya Uongozi na Itikadi za viongozi ndio yalifanya mradi wa Mtwara ukafa ila Sasa umefufuliwa na najua unafahamu kwamba Serikali iko.kwenye majadiliano na Wawekezaji wa LNG zaidi ya til.98.

Hujajibu swali langu, Jibu swali hoja zingine ziendelee
 
Wewe unajifanya una akili wakati ni kopo tuu .

Unataka MoU itaje Ukomo una akili timamu? Umeambiwa mikataba ya utekelezwaji ikisainiwa mda wake utawekwa wazi Bado unaongea ujinga..

Hii ndio hasara Sasa ya utapiamlo.
Kwa hiyo kwako kumbe utekelezaji unaweza kuanza halafu muda wa kwisha kwake utajulikana mbele ya safari!

Wewe ni mzigo tu, hebu nikutue!.
 
Kwa hiyo kwako kumbe utekelezaji unaweza kuanza halafu muda wa kwisha kwake utajulikana mbele ya safari!

Wewe ni mzigo tu, hebu nikutue!.
Kinachofanyika Sasa ni utekelezwaji wa Yale yanayokubalika Kwa mujibu wa MoU, yaani maandalizi ya Kuelekea kwenye specific projects agreements..

Kwa hiyo Bandari pale Kuna DP World si ndio? Acha kuhemka wewe na kukurupuka..

Ujue nyie watu mnashangaza sana ila Samia Huwa ni Mwanamke wa shoka nadhani mnakumbuka vizuri uamzi wa chanjo ya Uviko 19 na Issue ya kuokoa Ngorongoro.
 
Huwezi kunielewa kwasababu una akili ndogo, inayoishia kuona yale ya ulimwenguni tu, huna akili, mimi nakuona mpaka kilichomo ndani ya nafsi yako unavyoteseka nikitaja mwarabu kupitia maandiko yako, go get your life!.
Naona badala ya kujadili kilichopo hapa,umeanza personal attack,uzuri wangu hua nampokea mtu kama anavyokuja,

Haya endelea kukata kiuno nakuangalia,ila kua makini tu usije ukakata shanga zako za kiunoni.
 
Na wewe kitendo cha kukomalia hayo kinadhihirisha huna majibu ya maswali ya wananchi na ndo maana umejikita kutafuta vitu unavyodhani ni vya maana ilhali havina u maana wowote ule.
Endelea kuendeshwa na chuki za kijinga ila kwa akili hizo,huna utakachobadili.
 
Naona badala ya kujadili kilichopo hapa,umeanza personal attack,uzuri wangu hua nampokea mtu kama anavyokuja,

Haya endelea kukata kiuno nakuangalia,ila kua makini tu usije ukakata shanga zako za kiunoni.
Ndo watu wana ku block mpaka unachanganyikiwa na kuanza kuchanganya madesa.

GTFOH.
 
Back
Top Bottom