greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,321
- 3,956
Wewe unavyoshangaa na prof tibaijuka naye anashangaa kama wewe.
Huwa sijadili ujinga ndugu kama huna hoja pita kule..Wasafwa mliiuza Mbeya kwa Wanyakyusa 😂😂
"...wanakuja na mashart ya ajabu ni kichaa tu ndio anaeweza kuyakubali."Jibu kwa maswali yako liko hapa....
View attachment 2655655
View attachment 2655657
View attachment 2655656
Ngosha hakupenda maendeleo ya wananchi kabisa. Yeye alipenda sifa tu. Ndo mana katika kipindi chake chote hakuwahi kuajiri tu. Maendeleo ni economic welfare ya watu siyo sifa za kusifiwa tu. Ngosha asingesaini hasa akisikia kelele za wajinga na unajua watanzania asilimia tisisini ni darasa la saba hivyo hawajui chochote. Na ngosha aliwapuuza wasomi akawakumbatia mbumbum u ndoa a nchi ilikuwa ICUNilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Tulia wewe, bunge limepitisha.Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Mkuu,tatizo lako ni mkataba au "Mwarabu?"Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.
Hakuna faida yoyote tutakayopata itakayozidi ile atakayopata mwarabu, kwasababu msaliti ameitoa bandari yetu kwao milele.
Nonsense.Pumbavu sana ,faida hizi zitakazopatikana hapa ni mara 100 zaidi ya upuuzi mnafanya hapo bandarini..
Mwarabu anafanya biashara ni investor unadhani amekuja kuuza sura? Iko hivyo Hadi kwenye Madini,viwanda nk anae commit ujuzi na mtaji atapata zaidi..
Nitajie hasara Nchi itapata maana baseline tunayo kwamba Port Ina underperform since independence
Huwa sijadili ujinga ndugu kama huna hoja pita kule..
Nauliza Kwa DP World ku operate Bandari Tanzania itapata hasara gani? Maana faida ni hizi hapa 👇
😂😂😂Mkuu,tatizo lako ni mkataba au "Mwarabu?"
Kitendo cha wewe kuandika "Mwarabu" badala ya kuiandika kampuni DP World kinaonyesha kama vile unaendeshwa na chuki ya ukabila,kutaja race badala ya jina la kampuni ni chuki binafsi dhidi ya hiyo race kwa mtazamo wangu,
Hebu liweke wazi hili ili na mimi nikuelewe.
Kama angekuwa mzungu ningeandika mzungu, kama angekuwa muhindi ningeandika muhindi, na hata kama angekuwa msomali, ningeandika msomali pia.Mkuu,tatizo lako ni mkataba au "Mwarabu?"
Kitendo cha wewe kuandika "Mwarabu" badala ya kuiandika kampuni DP World kinaonyesha kama vile unaendeshwa na chuki ya ukabila,kutaja race badala ya jina la kampuni ni chuki binafsi dhidi ya hiyo race kwa mtazamo wangu,
Hebu liweke wazi hili ili na mimi nikuelewe.
We mjamaa Huna hoja pita huko fala wewe.. Bandari Sasa itakoma kuwa shamba lenu la bibi.Nonsense.
Angesaini tu!Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Ofcoz lengo la mkataba siyo baya, but kinacholeta mkanganyiko ni terms za mkataba, ni bora ziboreshwe au zitolewe ufafanuzi zaidi.Ngosha na wewe ni wale wale Wajamaa ambao ni wajinga na watu wa.hovyo and so Wala asingesaini..
Mtu ambae anasema anataka matajiri waishi kama mashetani au watu waendee kuwa maskini ndio awatawale anaweza saizi mkataba wa kuleta Neema Kwa Nchi?
Hizi hapa ni faida za mkataba,haya na nyie Wajamaa tuelezeeni hasara zake Kwa hoja sio Kwa hisia na propaganda..
Tukitaka maendeleo hii mikataba haiepukiki, Tanzania ni nchi kubwa na yenye neema nyingi kwa kuwa hatuna wazalendo wa kweli wa kuiendeleza ndiyo maana tupo hapa tulipo. Kwa sasa wacha tu tuingie mikataba ambayo itatufungua macho, mbona huko nyuma tuliingia mikataba mibovu kuliko huu wa bandari, na kwa kuwa hata mkataba halisi haujawekwa sisi tumeshaanza kelele, kwa sababu tunajua watu wanapoingia mikataba nchini kuna upigaji, hivyo basi wacha watu wachache waneemeke na nchi ipate maendeleo huwezi kujua huko mbeleni hii bandari inaweza kuwa muokozi mkubwa kwa watanzania katika kukuza uchumi.Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Eti hoja, hebu jibu hili; huo mkataba unakwisha lini?We mjamaa Huna hoja pita huko fala wewe.. Bandari Sasa itakoma kuwa shamba lenu la bibi.
Kuna sehemu nimesema kuna kitu kimenikera? najua unaandika kutokana na ufinyu wa uelewa kwa unachokiandika kuhusu kutaja race badala ya jina,Dunia inatoka huko kwenye racism na tribalism,hata Nyerere alilipigia sana kelele hili la ukabila,halafu nijibu kwa lugha ya staha tu coz huko unapotaka kuelekea sidhani kama utaweza kupamudu.Kama angekuwa mzungu ningeandika mzungu, kama angekuwa muhindi ningeandika muhindi, na hata kama angekuwa msomali, ningeandika msomali pia.
Hivyo sijui kipi hasa kinachokukera nikimtaja mwarabu!.
Kwa hiyo kama tunataka maendeleo ni lazima kusaini mikataba ya kipumbavu?Tukitaka maendeleo hii mikataba haiepukiki, Tanzania ni nchi kubwa na yenye neema nyingi kwa kuwa hatuna wazalendo wa kweli wa kuiendeleza ndiyo maana tupo hapa tulipo. Kwa sasa wacha tu tuingie mikataba ambayo itatufungua macho, mbona huko nyuma tuliingia mikataba mibovu kuliko huu wa bandari, na kwa kuwa hata mkataba halisi haujawekwa sisi tumeshaanza kelele, kwa sababu tunajua watu wanapoingia mikataba nchini kuna upigaji, hivyo basi wacha watu wachache waneemeke na nchi ipate maendeleo huwezi kujua huko mbeleni hii bandari inaweza kuwa muokozi mkubwa kwa watanzania katika kukuza uchumi.
Serikali imesema baada ya makubaliano ya maeneo ya uwekezaji yatasemwa lini utaisha ,MoU sio mkataba..Eti hoja, hebu jibu hili; huo mkataba unakwisha lini?
Hivi kwa akili zake kisoda angeweza kushiriki kupanga chochote, yeye alikuwa mtu wa kuagizwa kafanye hiki.Mbona ikulu imekamilishwa,bwawa la Nyerere je? Vitu walivyovipanga pamoja ilikuwa Lazima wavitimize la sivyo wananchi tungekasirika