johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nyumbani ni nyumbaniIringa inaongoza Kwa utapiamlo ,haya Sasa ndio madhara yake.
Mbeya ni ya Wanyakyusa 😂
Nyumbani ni nyumbaniIringa inaongoza Kwa utapiamlo ,haya Sasa ndio madhara yake.
Cha pekee nilichoshindwa ni uvumilivu kwa majuha kama wewe.Na wewe kama umeshindwa kuisimamia hoja yako,fanya tu kama hao uliowaita Watu.
Acha kua mjinga wewe,huyo alivyonijibu kwa lugha ya hovyo hukuona? mimi kumjibu ndio umeona? ni Double standard zako au hiyo pia ni ID yako nyingine?Ndo watu wana ku block mpaka unachanganyikiwa na kuanza kuchanganya madesa.
GTFOH.
Ushaanza kuchanganya madesa.Acha kua mjinga wewe,huyo alivyonijibu kwa lugha ya hovyo hukuona? mimi kumjibu ndio umeona? ni Double standard zako au hiyo pia ni ID yako nyingine?
Umeshindwa kuisimamia hoja yako,umeishia kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,juha ni wewe coz Majuha huamini kua wao ndio wapo timamu,na watu ambao ni timamu ndio majuha,huamini wakifanyacho wao ndio sawa kuliko kifanywacho na wenye utimamu wa akili.Cha pekee nilichoshindwa ni uvumilivu kwa majuha kama wewe.
🖕
Huo mkataba wa kipumbavu uliosainiwa upo wapi?Kwa hiyo kama tunataka maendeleo ni lazima kusaini mikataba ya kipumbavu?
Ndo maana nishaacha kabisa kujali…
Utatulia tu, usihofu, kuna dozi za kutosha hapa kwa wapuuzi kama wewe ambao hupenda kuanza kuwajibu wenzao kwa lugha chafu.Ushaanza kuchanganya madesa.
Una kichaa?
Mikataba ijeee Ule mlima kilimanjaro waje wachina bhasi chap.Ina maana baada ya mwendazake hakutakiwi tena kusainiwa mikataba
Upo kwa Samia na genge lake.Huo mkataba wa kipumbavu uliosainiwa upo wapi?
Sio masikharaMikataba ijeee Ule mlima kilimanjaro waje wachina bhasi chap.
Naona nijitolee tu kukupa somo dogo la sheria ya mikataba, maana hujielewi, unahangaika kunijibu kwa kufuata kauli za kuambiwa na serikali, wakati mimi nimeyaona makubaliano yao haramu kwa macho yangu.Kinachofanyika Sasa ni utekelezwaji wa Yale yanayokubalika Kwa mujibu wa MoU, yaani maandalizi ya Kuelekea kwenye specific projects agreements..
Kwa hiyo Bandari pale Kuna DP World si ndio? Acha kuhemka wewe na kukurupuka..
Ujue nyie watu mnashangaza sana ila Samia Huwa ni Mwanamke wa shoka nadhani mnakumbuka vizuri uamzi wa chanjo ya Uviko 19 na Issue ya kuokoa Ngorongoro.
Umemaliza yote mkuu, big up kwa reference. Sasa na wacheze clips hizi kama walivyo cheza clip ya Mbowe kule mjengoni. Thubutu!Jibu kwa maswali yako liko hapa....
View attachment 2655655
View attachment 2655657
View attachment 2655656
Form Fours wakianza kuuliza maswalu Kuntu kama yako, watawala wana kazi, kazi haswa na n i kweli - Ngosha na Viraza ni usiku na giza, hakuna cha faida za ndondocha za kusadikika . Tatizo wengi wao form four bado wanapambania kupangwa form five sijui Tandahimba na Songea Boys, sasa ngoja waje waamuke. Kitaumana tu, si muda mrefu...Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Ni kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa juu ya hili jambo kwa nilivoliona mimi, kwa maneno macheche sana niseme mimi kama mimi naweza kuwa na mtazamo tofauti ambao ntapenda kusema kuwaNilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Paragraph ya kwanza na ya pili nimeipenda zaidi maana ina ukweli mwingi ndani yake !! 😅😅🙏🙏Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Hakuna kinachokusumbua zaidi ya Ukabila (Sukuma Gang)Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Duuuh hata wewe mwenye chama?Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Asante sana mkuu....Yaan daaMkuu usilie ndio hali halisi iliyopo
Mkataba ukishapitishwa na bunge kinachofuata ni utekelezaji hakuna tena makubalianoSerikali imesema baada ya makubaliano ya maeneo ya uwekezaji yatasemwa lini utaisha ,MoU sio mkataba..
Uliza swali jingine