Nani unafikiri anaweza kuindesha kwa faida? Kagame?
Sisi ni watu wa kulaumu tu hata kama tunaujua ukweli kuwa hatuwezi kuiendesha hii bandari, hayati Magu alijitahidi lakini wapi, tunaishia kutumbua watu tu kila kukicha. Kama una suluhisho lilete kama hoja na si kuleta maneno yasiyo na staha kwa viongozi.
Mkuu ikiundwa kamati kuchunguza mwenendo wa ili deal la kuuza Bandari Umangani Bibi Ushungi ataachwa utupu na genge lake!Ila kwa kweli ile picha yake kwenye lile jengo kule Dubai na haya yaliyokuja kutokea, it’s damning!
Huyu nadhani alikuwa ajazaliwa kipindi cha Mkapa wakati Kapteni Komba anapiga debe la Ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma.Hizo ngonjera za Ajira tulizikia sana enzi hizo kuanzia TANESCO (Netgroup solutions),Mgodi wa Nyamongo (Barrick),TRC na RITES ya India nk.Toka hapa na hizo faida zako za kutungwa.
Hakuna lolote.
Huyu alikuwa Rais kihalali! Wengine wanapata urais kiuchawi tu! Hawana akili za kuongoza lakini wanalazimisha tu!Jibu kwa maswali yako liko hapa....
View attachment 2655655
View attachment 2655657
View attachment 2655656
Kila zama na kitabu chake, pingeni lakini bunge ndiyo lishapitisha na baadhi yenu mtapeleka CV kuomba kazi pindi mradi ukikamilika.Kama akina Nyerere wangekuwa na akili kama zako hadi leo tungekuwa tunatawaliwa. Hebu nikuulize, Kagame ameingia vipi hapa?
Kama wewe unaamini kati ya watanzania zaidi ya 60 million hakuna watu wanaoweza ķuendesha bandari kwa ufanisi, basi wewe ni mtumwa.
Tumefika huku kwasababu ya ujinga wa kuteuana na kupeana peana vyeo kwa kujuana katika nafasi zinazohitaji watu wenye maarifa ya kutenda na kuleta matokeo.
Kiukweli ni mtu asiye na akili tu ndio atatamka kauli hiyo kwamba watanzania wote tumeshindwa kuendesha bandariKama akina Nyerere wangekuwa na akili kama zako hadi leo tungekuwa tunatawaliwa. Hebu nikuulize, Kagame ameingia vipi hapa?
Kama wewe unaamini kati ya watanzania zaidi ya 60 million hakuna watu wanaoweza ķuendesha bandari kwa ufanisi, basi wewe ni mtumwa.
Tumefika huku kwasababu ya ujinga wa kuteuana na kupeana peana vyeo kwa kujuana katika nafasi zinazohitaji watu wenye maarifa ya kutenda na kuleta matokeo.
Kiukweli tumeshindwa, ndiyo maana serikali imeamua kumtafuta muwekezaji.Kiukweli ni mtu asiye na akili tu ndio atatamka kauli hiyo kwamba watanzania wote tumeshindwa kuendesha bandari
Umeandika kijinga namna hii...! Wewe si wale wafoji vyeti kweli?Jibu hoja wewe mjinga,hizo ni faidia za kwenye mkataba Sasa tuonyeshe na wewe na hasara la sivyo unaingia kwenye kapu lile lile nalosema siku zote kwamba Wajamaa ni watu wa hovyo sana nyie..
Kwa mfano mismanagement ya hiyo Bandari kwangu inanisaidia nini? Na mnaopinga hili bila shaka mligeuza Chaka lenu la upigaji kama wale wajinga wa awamu wa 5 waliokuwa wanaomba Uzalendo huku wanapiga pesa ,pumbavu zenu.
Kipi kikuchofanyika zaidi ya kurudisha madudu. Hebu jitahidi utaje...Mbona kuna mengi tu yamefanyika baada ya kifo chake.
Who is Ngosha zaidi ya kuwa Marehemu tu!?
Keshakufa tuachane nae
Ulishaacha kujishugulisha na mambo ya Tanzania kwa maslah ya nani ndugu,je unaishi nje ya nchi au bado upo nchini.Nilishaacha kujishughulisha sana na mambo ya Tanzania kwa ujumla wake maana ni kazi bure tu.
Ni kujisumbua tu. Ni kupigania maslahi ya majitu mengi yasiyo na akili.
Ila hili jambo la ‘Covfefe’ ya bandari zetu, muda wake ambao mkataba umesainiwa, kelele za wananchi dhidi yake, harakati za wanaharakati, ukwepaji wa serikali katika kutoa ufafanuzi wa kueleweka, kujishuku kwa wahusika, na kadhalika, kumenifanya niwaze kidogo kwa sauti 🤔. Nawaza maswali ya kijinga kijinga yanayoendana na elimu yangu ya kidato cha nne 🤣.
Ni hivi; hivi kweli huu mkataba angekuwepo yule Ngosha, pamoja na mapungufu yake mengi aliyokuwa nayo, angemwaga kweli wino wa kalamu yake na kuridhia nchi kuingia kwenye mkataba wa namna hiyo?
Na hao jamaa wa Dubai walianza lini kuzinyemelea bandari zetu?
Kwa nini huo mkataba umesainiwa baada Ngosha kurudisha namba?
Ah, maswali ni mengi lakini majibu ya kuridhisha na kueleweka, mpaka hivi sasa hayapo!
Anyway, ni hivyo tu. Nilikuwa nawaza tu kwa sauti. Sijali….wafanye tu wanavyotaka.
Alikuwa muongo sana huyu mdingi. Hayo masharti kayatunga yeye Ili ahalalishe lengo lake la kuachana na huo mradi, hakukuwahi kuwa na mkataba, then masharti yanatoka wapi.Jibu kwa maswali yako liko hapa....
View attachment 2655655
View attachment 2655657
View attachment 2655656
Ujinga wa huo mkataba nini?Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.
Hakuna faida yoyote tutakayopata itakayozidi ile atakayopata mwarabu, kwasababu msaliti ameitoa bandari yetu kwao milele.
Hapa alikuwa anaongelea masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo (ambao aliustopisha), kama sikosei....Alikuwa muongo sana huyu mdingi. Hayo masharti kayatunga yeye Ili ahalalishe lengo lake la kuachana na huo mradi, hakukuwahi kuwa na mkataba, then masharti yanatoka wapi.
Yes, ila hakukuwa na mkataba. Kuna haja ya kutofautisha kati ya negotiation text na mkataba.Hapa alikuwa anaongelea masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo (ambao aliustopisha), kama sikosei....
Asali tamuuu eeeh!? 😳