Kwanini Huwa ni nadra kwa mikoa kama Dar es Salaam (Pwani) kuripotiwa matukio kama haya?

Kwanini Huwa ni nadra kwa mikoa kama Dar es Salaam (Pwani) kuripotiwa matukio kama haya?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,

Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au

N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio watu waliohamia hao hapana .
Screenshot_20260429-072243_1.jpg
 
Kwanini Huwa ni nadra Daressalaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,

Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ...? Au
Daslam ya Bahrain(Darusalaam?) unaizungumzia?Hii wanayopikana/kuchomana kwa magunia ya mkaa,ulawiti,utekaji,utapeli konki na kuhitimishia sherehe zao Mabwepande au Kazimzumbwi?
 
Kwanini Huwa ni nadra Daressalaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,

Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ...? Au


N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio watu waliohamia hao hapana .
Ni ustaarabu tu. Hii mikoa ambayo ustaarabu wake uko chini ndiyo haya matukio kila siku yanatokea. Mara ubakaji, kuchinjana n.k
 
dar ni sodoma ndogo mji umejaa uzinzi uasherati na ufilauni wa kila namna hata watu wake washazoea na ikitokea taarifa hawaibebi juu juu saana
Hakika nakuambia,huu mji ni mji wa dhambi
 
Jamii ya wageni ndo hufanya HAYO ila wazawa ni nadra uwakute wanafanya mambo ya kikatili
Watu wa Pwani walistaharabika toka zamani sana hizo mbaga huwa zipo huko mikoani, kwa wazee wanaotumia nguvu kila kitu.
 
Mambo ya ushirikina na imani potofu yamewajaa sana watu wa mikoani..!!
Mauaji, ubakaji na kila aina ya ukatili upo huko.
Pwani huwezi kukuta kesi za albino kuuwawa na muhusika akawa na jina la wenyeji..!

Watu wa pwani wamestaaribika huwezi kukuta mambo kama hayo. Na hata kama yakitokea basi ni hao wageni..!!
 
Back
Top Bottom