Kwanini Huwa ni nadra kwa mikoa kama Dar es Salaam (Pwani) kuripotiwa matukio kama haya?

Mambo ya ushirikina na imani potofu yamewajaa sana watu wa mikoani..!!
Mauaji, ubakaji na kila aina ya ukatili upo huko.
Pwani huwezi kukuta kesi za albino kuuwawa na muhusika akawa na jina la wenyeji..!

Watu wa pwani wamestaaribika huwezi kukuta mambo kama hayo. Na hata kama yakitokea basi ni hao wageni..!!
100%
 
Kila sehemu ina uzuri na ubaya/mabaya yake.Ni muda/timing tu ndiyo hutupasha habari.
 
Noma sana, napita mtaa fulani jioni giza ndio linaingia, jamaa wanapiga story na mdada, yule mdada anawaambia kwa sauti, natoka kut***wa saivi, nani anataka akanit****be tena. Nikageuka kumuangalia yule dada, ni mzuri sana wa sura, ila ulichosema ni sahihi..dar ni danguro!
dar ni sodoma ndogo mji umejaa uzinzi uasherati na ufilauni wa kila namna hata watu wake washazoea na ikitokea taarifa hawaibebi juu juu saana
 
Noma sana, napita mtaa fulani jioni giza ndio linaingia, jamaa wanapiga story na mdada, yule mdada anawaambia kwa sauti, natoka kut***wa saivi, nani anataka akanit****be tena. Nikageuka kumuangalia yule dada, ni mzuri sana wa sura, ila ulichosema ni sahihi..dar ni danguro!
Daslam ni "hall of lunatics"!
 
Wazawa wanajua kulogana, kupigwi, huchomwi kisu wala mkaa. Utalogwa na kufa taratibu ila kwa uhakika.
 
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,

Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au

N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio watu waliohamia hao hapana .View attachment 3581196
Watanzania halisi wanapatikana mikoa ya pwani, kwa maana ya Tanga, Dar, Lindi na Mtwara, na ndiko ulikoanzia ustaarabu, ujamaa, ukarimu upendo, Amani na utulivu, na ndiomana matukio kama haya yakinyama hauyasikii wala kuyaona tofauti na mikoa iyo mingine ambayo wakazi halisi ya mikoa hiyo asili yao ni Kenya, Rwanda, Uganda, Burundi na hata Congo DRC.
 
Ndio maana hata hospitali ya vichaa imewekwa hukohuko kwa wakina Maganga Makali Dodoma
 
Watanzania halisi wanapatikana mikoa ya pwani, kwa maana ya Tanga, Dar, Lindi na Mtwara, na ndiko ulikoanzia ustaarabu, ujamaa, ukarimu upendo, Amani na utulivu, na ndiomana matukio kama haya yakinyama hauyasikii wala kuyaona tofauti na mikoa iyo mingine ambayo wakazi halisi ya mikoa hiyo asili yao ni Kenya, Rwanda, Uganda, Burundi na hata Congo DRC.
Sahihi
 
Back
Top Bottom