DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
- Thread starter
- #21
100%Mambo ya ushirikina na imani potofu yamewajaa sana watu wa mikoani..!!
Mauaji, ubakaji na kila aina ya ukatili upo huko.
Pwani huwezi kukuta kesi za albino kuuwawa na muhusika akawa na jina la wenyeji..!
Watu wa pwani wamestaaribika huwezi kukuta mambo kama hayo. Na hata kama yakitokea basi ni hao wageni..!!