Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu!

Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote!

Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati tayali ipo BURE?

Huduma zingine za kijamii tunazolipia naelewa ni sawa zinazalishwa viwandani hivyo ni mhimu kulipia!
Sasa hili la kodi ya pango ya ardhi kwanini tulipie wakati tumekuja duniani ili tuishi kwenye ardhi halisi BURE?

Yaani kwa lugha nyepesi Ardhi ipo kundi moja na hewa! Kama tunalipia kodi ya ardhi kwanini tusilipie na kodi ya hewa?

Naomba kueleweshwa! Vinginevyo naomba serikali ifute hii TOZO ya ARDHI ya ardhi mara moja!

Ardhi Haipaswi kabisa kutozwa kodi TUMEPEWA BURE. WACHA TUISHI NAYO BURE!

Updates
Kuanzia tarehe 01 may 2023 kodi za majengo wataanza kuzikata laivu kupitia LUKU, yaani Nyumba ya kawaida bila elfu 12000 umeme hautoki na kwa nyumba za maghorofa bila laki na ishirini hupati umeme!

HAUWEZI KUSHI KWENYE ARDHI YA MUNGU BUREBURE! Wakati Mungu katuleta duniani ili tuishi kwenye ardhi tuliyoikuta BURE
Kwa sheria za Tanzania ardhi ni mali ya serikali. Wewe unakua mpangaji tu kwa muda, aidha miaka 33 au 99.

Sina uhakika kama na nchi zingine wana huu utaratibu
 
Kwa sheria za Tanzania ardhi ni mali ya serikali. Wewe unakua mpangaji tu kwa muda, aidha miaka 33 au 99.

Sina uhakika kama na nchi zingine wana huu utaratibu
hata bibilia ina agano la kale na jipya!
hizo sheria ni kitu gani hata zisifutwe?
 
Wana copy kodi za Ulaya harafu makusanyo ya Kodi ni kuiba tuu kila kukicha hakuna kinachofanyika kila mwaka inatoka taarifa ya CAG ya wizi harafu wahuni wanabaki kuongeza kodi ya pangolin kwenye Umeme ili wapate za kuiba ziwe nyingi ukiwauliza kwa nini wameongeza hawana majibu wezi wakubwa...
devel
 
Back
Top Bottom