Kwanini huwa Yanga wanaisema Simba sana katika midomo yao kuliko hata timu yao Yanga?

Tupo juu tunawapumulia huko kwenye rank za CAF...au unataka tuwanyee kabisa ndo ushtuke..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nyie si mmeshazoea kuharisha kila mnapopigwa bao kadhaa....leo watishia kunya???
 
Kazi ya rekodi ni kuweka kumbukumbu hivyo kama rekodi zipo tutaendelea kuwakumbusha...kuwa hakuna jipya ambalo mnyama hajawahi fanya...
Kama mnyama basi Nyau tu kwasasa...🀣🀣🀣
 
Mwakarobo, Robo fainali sio Ushindi wa kujisifia...waambie na Kolo wengine akina OKW BOBAN SUNZU 🀣🀣🀣 tatizo atakimbia hapa
Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
 
Nilifikiri nimegundua hilo pekee yangu mkuu.

Umefanya tafiti tosha, kudos!
 
Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
Kolo hamna kitu zaidi ya ngengenge nyingi.....mmeishia kubwabwaja
 
Washabiki wa hiyo timu nawaonaga kama waswahili fulani wa uchochoroni tu
 
Nyie si mmeshazoea kuharisha kila mnapopigwa bao kadhaa....leo watishia kunya???
Vyote tunakupa unachohitaji....ww tuu maana kama uko chini huchagui kitakachokuja unapokea tuu...
 
Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
Mwakarobo kumbuka Quarter Final sio kitu cha kujivunia hasa mbele ya Wanaume...
 
Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Si ndio maana napokea makombe na mataji tu Mwakarobo???
Sisi ni wakubwaaa...tunatambulika ukanda wote wa africa...nyie endeleeni kujifunza kutoka kwetu...Majayanti...😊😊😊😊
Utopolo aka mazuzu mna la kujifunza kutoka kwetu...
 
Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜„kwel unayo nguvu ya kubishana na washabiki wa utoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
""The End justifies the Means"" unaujua huo usemi Mwakarobo?

Leo mnaongea nini na usajili wenu wa Timu nzima?🀣🀣🀣
 
Umeongea kinyume. Hiyo tabia anayo sana Ahmed Ally. Nadhani unalengo la kufanya sensa Yanga wangapi na Makorokocho wangapi.
 
Sisi ni wakubwaaa...tunatambulika ukanda wote wa africa...nyie endeleeni kujifunza kutoka kwetu...Majayanti...😊😊😊😊
Utopolo aka mazuzu mna la kujifunza kutoka kwetu...
Ninyi mnajulikana kwa kuishia Robo fainali zaidi ya mara 4...hilo hatukatai
 
Uto Azarel
""The End justifies the Means"" unaujua huo usemi Mwakarobo?

Leo mnaongea nini na usajili wenu wa Timu nzima?🀣🀣🀣
Usajili umekuuma sana naona...πŸ™„πŸ™„πŸ€’tusingesajili mngewatoa wapi wastaafu wetu kuja kwenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…