Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nyie si mmeshazoea kuharisha kila mnapopigwa bao kadhaa....leo watishia kunya???Tupo juu tunawapumulia huko kwenye rank za CAF...au unataka tuwanyee kabisa ndo ushtuke..😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si mmeshazoea kuharisha kila mnapopigwa bao kadhaa....leo watishia kunya???Tupo juu tunawapumulia huko kwenye rank za CAF...au unataka tuwanyee kabisa ndo ushtuke..😃😃😃
Kama mnyama basi Nyau tu kwasasa...🤣🤣🤣Kazi ya rekodi ni kuweka kumbukumbu hivyo kama rekodi zipo tutaendelea kuwakumbusha...kuwa hakuna jipya ambalo mnyama hajawahi fanya...
Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...Mwakarobo, Robo fainali sio Ushindi wa kujisifia...waambie na Kolo wengine akina OKW BOBAN SUNZU 🤣🤣🤣 tatizo atakimbia hapa
Kolo hamna kitu zaidi ya ngengenge nyingi.....mmeishia kubwabwajaBana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
Vyote tunakupa unachohitaji....ww tuu maana kama uko chini huchagui kitakachokuja unapokea tuu...Nyie si mmeshazoea kuharisha kila mnapopigwa bao kadhaa....leo watishia kunya???
Mwakarobo kumbuka Quarter Final sio kitu cha kujivunia hasa mbele ya Wanaume...Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
Sasa nyie na sisi nani wana ngenga...Kolo hamna kitu zaidi ya ngengenge nyingi.....mmeishia kubwabwaja
Si ndio maana napokea makombe na mataji tu Mwakarobo???Vyote tunakupa unachohitaji....ww tuu maana kama uko chini huchagui kitakachokuja unapokea tuu...
Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...😃😃😃Mwakarobo kumbuka Quarter Final sio kitu cha kujivunia hasa mbele ya Wanaume...
Makolo wanabwabwaja hata baada ya kufungwa za kutosha na usajili wao wa kutisha juuSasa nyie na sisi nani wana ngenga...
Sisi ni wakubwaaa...tunatambulika ukanda wote wa africa...nyie endeleeni kujifunza kutoka kwetu...Majayanti...😊😊😊😊Si ndio maana napokea makombe na mataji tu Mwakarobo???
😄kwel unayo nguvu ya kubishana na washabiki wa uto😅😅😅😅Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...😃😃😃
""The End justifies the Means"" unaujua huo usemi Mwakarobo?Mmekimbizana miaka karibia 20 hamjaingia klabu bingwa sasa hivi ndo mnajiona mmeshakua vyura kiziwi...😃😃😃
Umeongea kinyume. Hiyo tabia anayo sana Ahmed Ally. Nadhani unalengo la kufanya sensa Yanga wangapi na Makorokocho wangapi.Hapo vip!!
Hii tabia au hali kama hii ipo wazi sana na nimejaribu kuchunguza muda mrefu nimeona wanayanga na viongozi wao huwa wanaiwaza Simba sana kuliko hata timu yao
Yaani yule msemaji wao sijui anaitwa ally kamwe.Yaani kila akiongeo na chombo cha habari chochote au na mtu yeyote lazima aiseme Simba sc ila wanaSimba hawana muda na kusema sema mambo ya yanga.
Washabiki wa yanga sasa wanaisema Simba mpaka mishipa ya kwenye uso zinasimama masikini ila wanaSimba hawana hata muda nao ila wanawalazimisha Simba waongee juu yao.
Inaonekana hawa jamaa wanateseka dhidi ya Simba na nafikiri ni jamii yenye tabia zinazofanana fanana kwanza wote wana silika moja.
Wanasimba wengi sana ni watu wakimyaa,sawa wanaongea ila kwa uchungu wa kuisemea timu yao pale ambapo wanaona inaseama ndivyo sivyo.
Hata ukiangalia threads nyingi humu ndani ni za kuisema Simba.
Nini tabia ya watu wanaopenda kufiatilia kusema sema maisha ya watu sana....
Sio kosa kuisema timu nyingine ila hawa jamaa wamekuwa too much..mpaka unajiuliza nikwamba Simba imewachomekea mkuki sehemu fulani na wamekataa kuchomoa...
Ninyi mnajulikana kwa kuishia Robo fainali zaidi ya mara 4...hilo hatukataiSisi ni wakubwaaa...tunatambulika ukanda wote wa africa...nyie endeleeni kujifunza kutoka kwetu...Majayanti...😊😊😊😊
Utopolo aka mazuzu mna la kujifunza kutoka kwetu...
Ongeza nguvu kwa Dada yako hapo...Mwakarobo Mwakatano😄kwel unayo nguvu ya kubishana na washabiki wa uto😅😅😅😅