Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.

Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti nyekundu..

N.B: wale waliokuwa wanasema mwanajeshi lazima awe mrefu leo mtajificha wapi? Wana arsenal mpooo!

Pia soma:
 
Ni
Ni mwanachama wa ccm
 
Huyo jibaba aliyemkamata huo mkono kama pingu tu😀
 
Hizo mbavu nene unaziona hapo? Pingu mbona hata wewe unaweza kufunguwa?
 
Huyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Wakati nyie uvutaji bangi, sugu mikononi, mwili uliokakama (siyo kujengeka), namaanisha uliokakamaa kwa maisha magumu, yasiyo na viwango na kufanya kazi nzito za kujikimu ndiyo kigezo cha mtu kuchaguliwa kwenda kwenye mafunzo ya ukomando, wenzetu wanaangalia utimamu wa mwili, na uwezo mkubwa wa kiakili, kujiheshimu na kuheshimu wengine, utaifa, uvumilivu, reasoning etc
 
Yule mwanamke aliyehusishwa kwenye suala hili mbona simuoni kwenye Kesi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…