chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.
Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti nyekundu..
N.B: wale waliokuwa wanasema mwanajeshi lazima awe mrefu leo mtajificha wapi? Wana arsenal mpooo!
Pia soma: