positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
Mkuu kama mtu humjui usimchafue, yote ni majina yake، hatumii cheti feki,umri wake pia ni sahihiTatizo jina sio lake ,huenda anatumia cheti feki pia .
Sasa je ... Bado wanataka jina la Nini sijui au wanataka kumroga nini wamzimishe Nyota aaaaa! Sio fair taratibuni jamani ...[emoji23] [emoji23] kweli na hizo ngumi hazihitaji cheti cha form4 ndiyo upigane. Kwanza kajiweka wazi kimalikia hakipandi ana mkalimani
Tulia wewe kwani anakula kodi yako? Wänaotumia vyeti feki na pēsa za umma mnawaogopa kuwaambia iĺa huyu unamkomaliaTatizo jina sio lake ,huenda anatumia cheti feki pia .
Mwanzo mbona hukutaka kujua.Hatumtii nuksi tunataka kujua hilo jina la Halfani Hamza
na Hassan Mwakinyo yanaingiliana vipi?
Jina lake linakuhusu nini?? Acha umbea..Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.
Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.
Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.
Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.
Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Bila shaka utakuwa mfuasi wa cdm.Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.
Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.
Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.
Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.
Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Hii hamu ya kuwekwa wazi imekuja baada ya kusikia jamaa kafanya vizuri huko mbele sio?Inabidi atuweke wazi maana hata umri wake unatia mashaka kwa kweli.
Floyd ana miaka 40 lakini mbona anaonekana mdogo?Nadhani unafikiri mambo kupigana ni kama kuwa karani ofisini. Ngumi huchakaza. Mdogo unaonekana mzee.
sio kweli.yote ni majina yake na wala hajaghushi cheti, Jina lake lililozoeleka sana ni Hassan
Una uhakika gani?Mkuu kama mtu humjui usimchafue, yote ni majina yake، hatumii cheti feki,umri wake pia ni sahihi
Atatuchafulia nchi yetu.Tulia wewe kwani anakula kodi yako? Wänaotumia vyeti feki na pēsa za umma mnawaogopa kuwaambia iĺa huyu unamkomalia
Ila ametumia jina ambalo sio lake.Kamati ya Roho mbaya ishaanza kazi yake. Wabongo aisee , acha mambo ya kichawi mtoto mdogo, hata ukijua hayo na mengine ukweli utabaki palepale "kapiga mtu" katuletea heshima anastahili pongezi na support kupandisha na si vinginevyo
AiseeIlo jina ni la bahati,mwakinyo ni sawa na ronadinyo,firminyo au robinyo
Umeona sasa, kumbe ameiba jina la mtu.Hassan Mwakinyo ni aka tu! Hilo limetokana na rafiki yake anaitwa Hashim Mwakinyo ambaye anapigana kick Boxing. so jamaa ni role model wake Ndio maana anatumia jina hilo!