Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Ni kawaida kwa wanamichezo kuwa na Majina ya PASSPORT na Majina ya Media. Arsenal waliwahi kuwa na mtu anaitwa GERVINHO lakini Passport yake ilisomeka: GERVAIS LOMBE YAO KOASSI, jamaa alifanana sana sura na K. R. Mulla wa TMK WANAUME!
Hiyo ni issue tofouti hizo ni Nickname hata ulaya na America wapo akina Harry,Nick,Bill,Garry,Ronadinho,Dave,Danny nk ila passport zao haziwezi kusoma hayo majina ila hakuna anayeitwa John Graham alafu passport ikasoma Daniel Beckham alafu isihojiwe
 
Kama katokea huku sishangai...maana wengi wa waliokwenda Nje kipindi kile walitumia majina...uraia...na maelezo feki.. .wakaonekana ni wakimbizi wakapokelewa!
Inawasumbua baadhi hii hali maana ukijulikana unarudishwa mkuu mkuku!
 
Ni kawaida kwa wanamichezo kuwa na Majina ya PASSPORT na Majina ya Media. Arsenal waliwahi kuwa na mtu anaitwa GERVINHO lakini Passport yake ilisomeka: GERVAIS LOMBE YAO KOASSI, jamaa alifanana sana sura na K. R. Mulla wa TMK WANAUME!
Gervinho ni mdogo wa K.R. Mulla.. Wanashea babu
 
Mnaouliza umri nahisi hamjielewi, kwahiyo bondia unataka umuangalie sura awe sawa ba celebrities au sio, fanyeni yenu huo ni aina nyingine ya uchawi.
 
Mbona baadhi ya watu,mna matatizo ya akili,mtu anapofanya jambo zuri tena kwa heshima ya nchi ndipowanajitokeza wapuuzi fulani kuchokonoa vitu vya ajabu ajabu.
Kazi kubwa wewe ukaona utafute background yake,ili uanze kuchallenge.
 
Kusema ukweli mzungu alipewa vitasa vya maana, wanaita African jabs......km sio ushapu wa refa jamaa alikuwa amuue kabisa Sam Egginton.
 
Aiseee mtanzania mpe kichwa cha habari tu...sasa jina lake na ukoo wake vitakusaidia nini?
 
Hasani mwakinyo ni jina alilokuwa anatumia braza wake wakati anacheza ngumi(hakuwa maarufu sana ila pale mkoani tanga alikuwa gwiji) , kwahiyo dogo akaamua alichukue ili iwe rahisi ata kuonyesha uwezo maana ataonekana katoka ukoo wa ngumi fursa za kingumi zinakuwa karibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli labda wanataka kumshusha nyota
 
Bila shaka utakuwa mfuasi wa cdm.
Kila jambo jema au mafanikio lazima uyapinge.
Unajua miaka 30 kwenye masumbwi inamaanisha nini?
Inamaanisha uwezo we kupigana ngumi umeshuka, lakini wa huyu iko juu
 
Ni jina la kisanii yaani a.k.a
 
Unakwenda kupambana na ufisadi au unakwenda kuu - enzi Ufisadi ...

Hivi katika Hali ya kawaida unawezaje kupambana na mtu aliekununua?

Kila la heri bro huko uendako kupambana na ufisadi ndani ya CCM hutoweza ...

Umeshanunuliwa kale maisha yako ila jua Mungu aliekupa kipawa Cha mpaka wao kukufuata na kukununua ili uwasaliti wenzako hatokuacha salama wewe na kizazi chako ...

Kwa Sasa huwezi kuona athari yake ila muda ukifika utalijua Hilo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…