DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwani hayo mavazi aliyovaa diamond yana shida gani ?Kuna siku mtu ataingia kavaa bikini, kisa tu ni msanii au mwanamitindo.Kwa hiyo kisa analipa kodi, kaajiri watu na blablaa ndo avae vyovyote mahali popote.
Mbona msikitini akienda kuswali anapigaga kanzu fresh kabisa...