Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
mbelwakairuki_b50aea3bff5b4e448c866dd4e48ed9ed.jpg

mbelwakairuki_3810b2df02d04d479a1be7a8662dba05.jpg

Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza

Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
 
View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini China.

Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes



Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,

Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
 
Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yeyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi , kuisadia ccm kila uchaguzi n.k
Du nondo hii
 
Malezi ya kulelewa na mwanamke peke yake ni shida, unakosa maadili...na unakuwa hujui kama kipi hakifai na kipi kinafaa 😄
Watu wanaiba pesa CAG anawataja na wanavaa suti na kuapa kwa kutumia Biblia na Quruan.

Utumwa wa kifikra ndo unawatesa watu weusi.

MTU ambaye amatengeneza ajira , na kuleta mapinduzi katika sanaa ndo unasema hana maadili

Nyie maadili ni kuvaa suti

Hapo Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
 
Sikubaliani na yanayofanywa na serikali na ni muumini wa NRNE, lakini kuingiliana suala la mavazi ni u$enge na ushamba tu...
Mambo ya kizamani yaliyopitwa na wakati, kila kizazi huja na style zao, wale wale wazee wa zamani walifuga afro, shati linabana kiunoni, suruali inabana juu chini inamwagika, chini wanavaa viatu virefu hapo unazungumziaje ulikuwa ni uhuni?
 
Back
Top Bottom