Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kumbe huwa unaandika point siku zingine? Ahahahahaha!!!!Mkuu huyo ni msanii, sio mchungaji.
Kumbe huwa unaandika point siku zingine? Ahahahahaha!!!!Mkuu huyo ni msanii, sio mchungaji.
KorodaniNdio maana haujawa balozi mkuu, endelea kuscratch balls zako muda uende, siku ipite..
Unaonekana mjuaji sana eeh? 😊Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi
Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yeyote .
Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara
Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .
Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,
Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Mjuaji maana yake.Unaonekana mjuaji sana eeh? 😊
SAWASAWA!Hii ndio athari ya kwanza kukosa elimu ya etiquettes na pili kutumia punga kama designer anaekuvalisha.
Kwa level aliyofikia Diamond kuna baadhi ya mambo inapaswa ajifunze ikiwemo aina ya mavi kwa mlingano wa eneo husika.
Sasa yeye kila kitu anachukulia usela kutokujua kuna dress code ya sehemu zenye hadhi.
Acha kupoteza muda wako kuwapa elimu watu waliojaa ujinga sugu walio ndani ya taifa lililojaa majinga na mapumbavu yaliyotukukaWabongo wanaa sana. Wanaangalia ushabiki wake kwa msaani badala ya kumwambia ukweli.
Ila kila kazi ni ngumu, hiyo suruali daah! Kweli kila mtu acheze mechi zakeView attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Hapo huyo msanii ameingia ubalozini nusu uchi?Sasa kizazi cha saa hi i ni kutembeanusu uchi tusilalamike
na amevaa vizuri sana ki-saniiMkuu huyo ni msanii, sio mchungaji.
Kati ya hao wawili nani mwenye mchango mkubwa kwenye Taifa lake?Utozi wa kipumbavu huu
Hiyo fasheni yake yeye....kila mtu na fasheni yake...ipo fasheni ya nusu uchiHapo huyo msanii ameingia ubalozini nusu uchi?
Imagine hapo hatembei vizuri. Inabidi auburuzeIla kila kazi ni ngumu, hiyo suruali daah! Kweli kila mtu acheze mechi zake
Shida ni nini mkuu?Mbona kavaa kapelo,tisheti,saa,sketi pana na ndefu kwa raba?Nini mbaya?View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Wavaa suti wengi wezi tu, matapeli ndio dress code zao hizoSasa kizazi cha saa hi i ni kutembeanusu uchi tusilalamike
Mada inazungumzia mchango au mavazi? Acha ushabiki mandaziKati ya hao wawili nani mwenye mchango mkubwa kwenye Taifa lake?
Ana mchango mkubwa kwenye Taifa kuliko huyo mwenzio aliyevaa kaunda ujingaSi role model wenu
Ana wafuasi 😄
Ova
Kichwa cha habari kinasema imekuwaje kaingia ubalozini kwa jinsi alivyo vaa?Hiyo fasheni yake yeye....kila mtu na fasheni yake...ipo fasheni ya nusu uchi