Umeongea kweli, kuimba mapenzi na matusi...ni sanaa nzuri maana ametengeneza ajira na amekuza sanaa wengine wameingia kuimba matusi na mapenzi. Ila wote si sawa...Yale majizi ya suti yanalindwa na chama Cha mapinduzi, ndicho mmekipa kiongoze serikali haya ndio matokeo..hakiwezi waadabisha wezi badala yake kinawakingia kifua wasisumbuliweWatu wanaiba pesa CAG anawataja na wanavaa suti na kuapa kwa kutumia Biblia na Quruan.
Utumwa wa kifikra ndo unawatesa watu weusi.
MTU ambaye amatengeneza ajira , na kuleta mapinduzi katika sanaa ndo unasema hana maadili
Nyie maadili ni kuvaa suti
Hapo Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira