Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Kuna watu sio wasanii na wala hawajulikani popote wanaingiza pato la serikali mara “10” ya hicho unachodhania weweUmeshasema ni msanii.msanii lazima aonekane msanii
.usipokuwa msanii huwezi elewa usanii. Kilichomuingiza hapo ubalozini ni usanii.
Nenda wewe na suti zako za hata za dola 1000 uone kama utaruhusiwa kumuona balozi.
Uliza pia huyo msanii anaingiza sh.ngapi pato lq serikali
Msitete ujinga wa vitu msivyoelewa, na huyo balozi ni mstaarabu na nafkiri hata mapokezi kulikuwa na vijana wa intern maana dahh!