Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kanye West angeingia hapo
Kavaa magunia na maguo ya ovyo msinge complain 😄

Ova
Kanye West mbali, akiingia maasai hapo amevaa shuka na katoboa masikio halafu amesuka watakuambia ni tamaduni yake...
Haya masuala ya mavazi ni very complicated, cha muhimu ni mtu avae asivunje sheria..
 
Heri wenye moyo safi, sio heri wavaa “formal” hao washenzi na suti zao usiku kazi kula malaya tu na kuiba hela za walala hoi. Hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu ya hayo masuti kila mtu avae nguo zake . Alafu huyo mmoja anavaa sio kwamba anapenda kuna miongozo ina mlazimisha avae hivyo huyu mwengine ni mpambanaji anakula kwa jasho na damu ana haki ya kuvaa hivyo ndio kazi yake hiyo.
Nje ya mada.

Hivi wavaa midabwada kama huyo pichani sio wezi?
hivi huyo msela pichani hali malaya?

kama huna pesa acha kuchukia wenye nazo kwa maana unazidi kujiweka mbali na pesa.

jifunze au upuuze!
 
Di
Diamond na Kairuki nani mwenye impact?? Leta criterion kwanza ili watu wakujibu!!
Diamond ni balozi
Kairuki ni balozi

Diamond anafanya ubalozi kwa kuitangaza nchi kupitia sanaa

Kairuki ni diplomatic anaitangaza nchi officially.


Tutaangalia impact za kairuki kama diplomatic na impacts za diamond Kama msanii Ila balozi wa nchi kupitia sanaa.

Ntarudi kuendelea ......na utaona impact ya diamond kwa upana..
 
I
Diamond ni balozi
Kairuki ni balozi

Diamond anafanya ubalozi kwa kuitangaza nchi kupitia sanaa

Kairuki ni diplomatic anaitangaza nchi officially.


Tutaangalia impact za kairuki kama diplomatic na impacts za diamond Kama msanii Ila balozi wa nchi kupitia sanaa.

Ntarudi kuendelea ......na utaona impact ya diamond kwa upana..
Impact gani diamond ambayo anayo?? Kwa muziki Gani?? Huyu ni drug dealer na CHAWA over
 
Wavuta ngada dunia nzima ndo mavazi yao ya hovyo hovyo huyo jamaa nyimbo zake ni za hovyo hovyo nikiwa Rais wasanii aina yake wana kesi ya kujibu kwa kuua muziki wa Tanzania na mziki nzuri wenye ujumbe .

Ni mtu mpumbavu na Taahira anaweza kumuona ni mtu wa maana huyo msanii wenu.

Fally ipupa anamzidi kila kitu huyo mpuuzi ila hajawahi kufanya ujinga wa huyo boya na kila wimbo wake umebeba ujumbe wenye kuijenga jamii na kuburudisha na hajawai kusifia ushoga wala kuimba matusi.
 
Akivaa vimodo shida akivaa bwanga shida hivi mnashida ganii
images (2).jpeg
 
View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza

Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Hiyo ni dress code ya kisanii ambayo inasaidia kulipa kodi kubwa sana serikakini most probably kuliko wewe.

Balozi anaelewa hilo ndiyo maana hakuwa na tatizo.

Wewe ndiye huelewi.
 
View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza

Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Karne ya 21 hii ficha upumbavu wako. Kingine huo ubalozi upo First world ambako kuvaa sio issue kabisa. Mavazi na muonekano wa mtu ni tatizo huko Afrika tu shauri ya umaskini kwenye nchi za First world sio tatizo kabisa.
 
Kuwa msanii haihalalishi kuweka usanii kila sehemu uwapo au uingiapo...Wakati mwingine tuwe tunakubali ukweli.
Kwa hiyo hapo afumue nywele , avue mikufu(minyororo), avue bracelets, avue mapete hayo yaani avae 'Kisabato' ndiyo utakavyo? Vipi na tattoo awe anazifuta kabla ya kuingia ofisi za kibalozi? To be an artist ni mpaka dress code pia.
 
Back
Top Bottom