Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Fake id zinakupeni sana jeuri ya kupayuka nyuma ya keyboardUna tatizo kubwa sana la uelewa wa mambo yalivyo.kuna watu wanaingia hadi ikulu na pensi sembuse ubalozini.
Unafkiri ikulu ni kama ghetto la jamaa yako anayekupigaga show za kibabe?!