Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Tatizo ni kwamba wewe unanizungumzia mimi, wakati mimi nazungumzia hoja za kifalsafa.Tunakujua na tunakuchora
Incase you don’t know
Tatizo ni kwamba wewe unanizungumzia mimi, wakati mimi nazungumzia hoja za kifalsafa.Tunakujua na tunakuchora
Incase you don’t know
😁😁😁We mtoto una matatizo. Huna ujualo
Kwahiyo wewe ni nani hapa Tanzania unatamba na I'd fake na kujiona mjanjaCha kusikitisha ambacho hamkijui hana hizo hela anazowadanganyeni na kujinadi na mademu zake kumnadi kila kukicha… hiyo B1 yenyewe kafikisha mwaka 2024 uliza matajiri wa kariakoo ndo wana siri za huyo kijana.
Tunayajua mengi tuko kimya maana sisi ndo ma-mastermind na lazima apite kwetu
Wao wanajua msanii anavaa tu hizo nguo ajui kwamba muda mwingine analipwa kama bango la matangazo kwa kuvaa nguo ya kampuni yeye akilipa bili ya gesi anaona kamaliza anaweza kukosoa kila kitu.Wakiambiwa waende VETA wananuna kama mbogo.
Hao hawajatembea duniani madhara ya kukaa,sehemu moja no exposureWao wanajua msanii anavaa tu hizo nguo ajui kwamba muda mwingine analipwa kama bango la matangazo kwa kuvaa nguo ya kampuni yeye akilipa bili ya gesi anaona kamaliza anaweza kukosoa kila kitu.
Mabalozi wengi wanakuja kufa masikini tu bhana acheni kutisha watu aisee..Mwanadiplomasia/balozi anayeiwakilisha nchi/Rais ndiye msuka mipango ya kuleta wawekezaji wa mabilioni kutoka ughaibuni na kiungo mzuri wa uhusiano kimataifa ndiyo umfananishe na paka gani?Kua wewe!Still a kid!
Wacha waendelee kubishana hapa maana kutoka Nje ya Tanzania uwe umepambana sana aisee..Hao hawajatembea duniani madhara ya kukaa,sehemu moja no exposure
Kavaa kawaida kisanii tu syo lazima avae sutiNa kanye west asingevaa hivyo… amini usiamini
Wale wana akili kuliko hawa wanaowaiga wale
Ova!
JF imekuwa sehemu ya kupiga jaramba anavyowazungumzia mbalozi Kama vile watu Fulani specialMabalozi wengi wanakuja kufa masikini tu bhana acheni kutisha watu aisee..
Ukitaka kuolewa nenda kwa Mwamposa akuombee.. hadi sasa unaingia umri wa kuwa mshangazi hujapata mme... acha kunishobokea... mimi sitafuti mke...Umeshaanza kuonesha dalili zako za kuwashwa puru ili umng'ang'anie mwanaume akupige miti kama kawaida yako auntie!
Sijaeleza kuhusu utajiri atakaomiliki.Nimejikita kwenye faida na wajibu timilifu wa balozi.Wakati mwingine utajiri ni wizi na koneksioo!Mabalozi wengi wanakuja kufa masikini tu bhana acheni kutisha watu aisee..
Duh.Angevaa shati la kijani na suluari nyeusi ya kitambaa bado ungechukia pia.
Binadamu sisi!!!
Usanii ni kwenye matamasha huko na maklabuni ,ofisi za umma zina dress code mkuu au haujui we zombie?Mkuu huyo ni msanii, sio mchungaji.
Hiyo ofisi ina nini cha maana mkuu? Angeenda mtu amevaa sare ya ccm angeonekana hajavaa sawa?Usanii ni kwenye matamasha huko na maklabuni ,ofisi za umma zina dress code mkuu au haujui we zombie?
Hiyo ofisi ina nini cha maana mkuu? Angeenda mtu amevaa sare ya ccm angeonekana hajavaa sawa?
Hapo ubalozini hakuna hilo katazo.Sijaua protokali zinasemaje kuhusu kuvaa mavazi yanayohusiana na chama flani kuingia nayo kwenye ofisi za umma ,ila nachojua taasisi nyingi za umma wameweka matangazo ya mavazi yanayotakiwa kuingia nayo.
Mimi nakumbuka enzi nimeajiriwa ,boss alisema marufuku kuvaa mashati ya brand za bidhaa zozote zaidi ya Tshirt za kampuni....kwahiyo ili kuepusha double standard inatakiwa wasiruhusu sehemu za umma kuvalia minguo ya CHAMA.
Si ndo tunampa vibali FALA WEWE!
Anonymous ID zisikupe overconfidence ya kuharisha usiyoyajua
Unaikumbuka hii kipindi unaingia hapa? mume ulishapata ama bado? au ni stress zinakusumbua?We mke mwenzie na yule designer eeh?
We umepangiwa chumba wapi na huyo bwana wenu mnaemtetea hapo?
Naona umeamua kumpiga risasi ya kichwa bila huruma.Unaikumbuka hii kipindi unaingia hapa? mume ulishapata ama bado? au ni stress zinakusumbua?
View attachment 3397479
Sisi humu masuala ya ugomvi tulishastaafu... utoto unamsumbua, ngoja nione kama huo ugomvi ana uweza ama atakimbilia kwa mods..Naona umeamua kumpiga risasi ya kichwa bila huruma.