Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Nikujibu PM nimekua mmeo..?
Siwezi kuchat na mjinga kama wewe, hapa jf nita chat na pisi kali, sio jishangazi kila mdau analifumua....
Hopefully wahuni hata rinda moja hawajabakiza..

Halafu ukome kunitumia message PM, la sivyo utajuta unachokifanya... we hunifahamu naona.. ngoja nikuonyeshe..
We ni MPUMBAVU!
 
Sasa hicho unachokijua ni UPUMBAVU!

alikuja nchini bwana mmoja anaitwa “Idris Elba” (Yeye ni mcheza filamu maarufu kutoka mataifa ya huko mbali)

alifikia Zanzibar na akapata wasaa wa kutembelea ikulu na mkewe na kuonana na Rais wa Zanzibar… Idris na huyo kijana wenu unayedai kaanzisha ajira nyingi na kusaidia jamii huku ukirusha maneno kwamba Civil Servants ni wezi kutokana na ripoti za CAG ni nani tajiri mwenye uwezo mkubwa kifedha na aliyeanzisha vyanzo vyake mwenyewe vya kipato na kuwasaidia wengine kwenye jamii?!

Ulimuona alivyovaa na alivyo-behave alipokuwa pale?!

Saa zingine kama hujui protokali uwe unakaa kimya mapenzi binafsi ya kijinga na kipumbavu yasikufanye huo ujuaji wako umpayukie kila mtu… hizo ofisi alizozitembelea wewe unadhani au unafkiri ni za mchezo mchezo?! Huyo aliyekaa nae hapo kicheo unamtambua kama nani wewe?!
Protokali/dressing code (whiteman's nonsense) haihusu kila mtu, Mondi kwa kuwakilisha taaluma/fani yake alikuwa yuko smatly dressed, Mrisho mpoto anaingia ikulu peku/barefoot, hiyo haina shida.
😀dressing code inakuwa defined na mabeberu, wakati unaweza dress unavyotaka, na ukaheshimika

View: https://www.tiktok.com/@koronofmajor7/video/7512108808240483640?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Kilichokufanya uje PM kuniomba msamaha ili kusudi nisiendelee kukuanika hapa ni kipi?
😄 hebu leta screenshot ya mimi kukuomba msamaha hapa we shoga unayetafuta sympathy kwa ku-edit uchafue wanaume ili tu umpambanie mchumba’ako Diamond

Mke mwenzie na Zuchu 😅
 
Upumbufu wako wa kujibadili jinsia hujioni, baada ya kukosa mume unajifanya mwanaume.. au takuwa shoga.. kwa maana kuna post uliandika unavutiwa na wanaume wenzako..
😄😄😅 wanaonijua wanakushangaa
 
Nikutafutie mume?
Mtafutie Baba yako… au ukimuunganisha na bwana wako Diamond wote mbanduliwe na mwanaume mwenzenu pia sio mbaya

Sitakujibu tena… nimegundua yote haya ni kwa sababu ya kupambania penzi la mwanaume mwenzio, MPUMBAVU KAMA WEWE!
 
Wewe jana ulikuwa unasema utanikamata na nitaingia kwenye mdomo wa mamba , yako wapi sasa? nasikia upo TISS, njoo basi unikamate.. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,

Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Kuna siku mtu ataingia kavaa bikini, kisa tu ni msanii au mwanamitindo.Kwa hiyo kisa analipa kodi, kaajiri watu na blablaa ndo avae vyovyote mahali popote.
Mbona msikitini akienda kuswali anapigaga kanzu fresh kabisa...
 
😄 hebu leta screenshot ya mimi kukuomba msamaha hapa we shoga unayetafuta sympathy kwa ku-edit uchafue wanaume ili tu umpambanie mchumba’ako Diamond

Mke mwenzie na Zuchu 😅
Nikileta hapa PM yako unaniomba msamaha unaweza kulia bure ngoja nikuache tu..
Usije kurudia tena, sawa mtoto mzuri..?
haya jioni njema, hoepfully una adabu sasa..
 
Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,

Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Nadhani hujamuelewa mtoa mada, kwa uelewa wangu mtoa mada hakumaanisha msanii asifanye ulivyovitaja bali kamaanisha msanii alitakiwa aelewe mazingira anakoenda na namna alitakiwa avae
 
Nikileta hapa PM yako unaniomba msamaha unaweza kulia bure ngoja nikuache tu..
Usije kurudia tena, sawa mtoto mzuri..?
haya jioni njema, hoepfully una adabu sasa..
Leta nilete

WEWE NI SHOGA! Unatafuta sympathy ukidhani kila mtu ni wakala wa shetani kama wewe

Leta PM yangu… demu wake diamond
 
Nadhani hujamuelewa mtoa mada, kwa uelewa wangu mtoa mada hakumaanisha msanii asifanye ulivyovitaja bali kamaanisha msanii alitakiwa aelewe mazingira anakoenda na namna alitakiwa avae

Mambo Kama haya yalimfanya Nyerere amkate Bob Marley kisa amevaa very casual

Ila hakujua Bob Marley Ana Impact gani kwa jamii

Nadhani ni utumwa wa kifkra tuliorithi kutoka kwa wakoloni kuhusu mavazi

Mnaangalia Sana mavazi Ila sio kile alichonancho MTU kichwani.
 
Back
Top Bottom